Mkuu nakuunga mkono asilimia mia moja huyu jamaa anatafuta sifa za kijinga sana yupo kama chizi ni mropokaji na muongo wa kutupaWatu tunapata shida kutoka majumbani kwenda sehemu za kazi, majamaa yameharibu barabara na ujenzi haueleweki na barabara zilizobomolewa ujenzi hauendelei. Mi namuona magufuri kama mtu asiye jua kupambanua mambo! nyie mnao muona wa maana nanyie mko kama yeye.
If not did you get this before and don't you see it is interesting?
Watu tunapata shida kutoka majumbani kwenda sehemu za kazi, majamaa yameharibu barabara na ujenzi haueleweki na barabara zilizobomolewa ujenzi hauendelei. Mi namuona magufuri kama mtu asiye jua kupambanua mambo! nyie mnao muona wa maana nanyie mko kama yeye.