Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Teh teh...Huyu mtoa mada sijui hajui kinachoendelea...Dr kakimbia clinic yake..Hizo gharama akazipunguze wapi..300,000!!!!! Ndo maana watu wana maghorofa mji huu
kigwangala kaenda kumtembelea tutapata mrejesho
Teh teh...Huyu mtoa mada sijui hajui kinachoendelea...Dr kakimbia clinic yake..Hizo gharama akazipunguze wapi..
Btw na sisi tuanzishe yetu mpendwa..Kuna pesa huku
kigwangala kaenda kumtembelea tutapata mrejesho
Kwa kipindi kirefu sasa mtaalam wa tiba mbadala maarufu kwa jina la Dr.Mwaka anayetoa huduma zake ktk eneo la Bungoni amejizolea umaarufu miongoni mwa wananchi wanaofika ktk Clinic yake kupata huduma.
Awali ya yote nampongeza kwa maono aliyopewa na mwenyezi Mungu kwa kuwasaidia sehemu kubwa ya watanzania wenzake na hata wa nchi za jirani hususani kwa tiba ya maradhi sugu yaliyoshindikana hospitali.
Masikitiko yangu kwa Clinic hii nimebaini nilipokwenda kupata huduma tarehe 10.12.2015 kwamba kwa gharama zinazotozwa pale hakika siyo rafiki wa masikini.
Kuanzia kugungua kadi ya kumwona daktari, vipimo na kimbunga ni kwenye kulipia dawa. Kwa yule anayehitaji kuonana na Dr.Mwaka mwenyewe nako kuna gharama zake. Kwa mgonjwa unayetarajia kwenda kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe na kiasi kisichopungua laki tatu.
Napenda kutoa wito kwa Dr. Mwaka aliangalie swala la kupunguza gharama ili huduma anayoitoa iweze kuwanufaisha idadi kubwa ya Watanzania.
HAKIKA KUSOMA NI MALI.
Hilo la mizizi lisikupe tabu..Nina rafiki yangu wa kimasai atatusaidia..Yy anadili na hizo vitu..Cha msingi ni kujitanga tu mpendwa..Si unajua biashara matangazoYaani hapa natafuta eneo....
Tuandae na mizizi ya kutosha tupige kazi
Dr kakimbia,Hahaha! Ngoja tusubiri
Dr kakimbia,
Na wafanyakazi wengine waliwakuta walipofika, Ila wakakimbia kwa kupitia mlango wa nyuma
Nimeona post ya mtu mmoja Instagram jamaa ana range spot kaweka plate namba ya jina lake "MWAKA"
wewe vipi au umetumwa. hii njemba imebambwa kama tapeli kwa kujifanya medical doctor wakati sio halafu unammwagia sifa. mwaka ni wale waganga wa kienyeji halafu wanaprogress na kuchanganya tiba ya kisasa ulozi ramli ulaghai etc. hebu sema kwa nini alitimka baada ya naibu waziri wa afya kumtembelea kwa ghafla?Kwa kipindi kirefu sasa mtaalam wa tiba mbadala maarufu kwa jina la Dr.Mwaka anayetoa huduma zake ktk eneo la Bungoni amejizolea umaarufu miongoni mwa wananchi wanaofika ktk Clinic yake kupata huduma.
Awali ya yote nampongeza kwa maono aliyopewa na mwenyezi Mungu kwa kuwasaidia sehemu kubwa ya watanzania wenzake na hata wa nchi za jirani hususani kwa tiba ya maradhi sugu yaliyoshindikana hospitali.
Masikitiko yangu kwa Clinic hii nimebaini nilipokwenda kupata huduma tarehe 10.12.2015 kwamba kwa gharama zinazotozwa pale hakika siyo rafiki wa masikini.
Kuanzia kugungua kadi ya kumwona daktari, vipimo na kimbunga ni kwenye kulipia dawa. Kwa yule anayehitaji kuonana na Dr.Mwaka mwenyewe nako kuna gharama zake. Kwa mgonjwa unayetarajia kwenda kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe na kiasi kisichopungua laki tatu.
Napenda kutoa wito kwa Dr. Mwaka aliangalie swala la kupunguza gharama ili huduma anayoitoa iweze kuwanufaisha idadi kubwa ya Watanzania.
HAKIKA KUSOMA NI MALI.
wewe vipi au umetumwa. hii njemba imebambwa kama tapeli kwa kujifanya medical doctor wakati sio halafu unammwagia sifa. mwaka ni wale waganga wa kienyeji halafu wanaprogress na kuchanganya tiba ya kisasa ulozi ramli ulaghai etc. hebu sema kwa nini alitimka baada ya naibu waziri wa afya kumtembelea kwa ghafla?
Kwanini asingeanza kwa babu wa loliondo?