DR. Jakaya Kikwete, next UN Sec General?

bado amechagulia kwenye masuala ya chanjo gani sijui
 
Hapa tu yalimshinda huko si kitakuwa kichekesho.
 
Tanzania is the most democracy?that's an oxymoron to me.We are the caricature of true democracy in the world.
T
Kuwa makini.. Hapo imeandikwa "One of the most stable democracies", na sio "the most democracy" kama unavyosema wewe, dhana amabayo haieleweki .
 
sifa kubwa aliyo nayo ni uvumilivu wa matus dah kwa hilo nampa hongera
 
Sijafahamu hiyo sifa no 7 inahusiana vipi na uongozi wa UN
 
Acha kuitukanisha nafasi ya'UN Secretary General'
 
Sijafahamu hiyo sifa no 7 inahusiana vipi na uongozi wa UN

Kumbuka kura zenye maamuzi zenye nguvu, na Marekani ikiwemo pia.....hao wawili ni washauri wakuu huko kwao
 
Be realistic......Ban Ki Moon an tofauti gani na Dr JK? Tena afadhali JK amekuwa President
Usitake kumfananisha Ban ki moon na takataka, any way hata ingekua ndo hivyo usemavyo, je tunatakiwa kuendelea kuitukanisha hiyo nafasi?
 
hata mimi nimeanza kuwa na hofu hiyo
 
Usitake kumfananisha Ban ki moon na takataka, any way hata ingekua ndo hivyo usemavyo, je tunatakiwa kuendelea kuitukanisha hiyo nafasi?

Rais wako mstaafu unamwita hivyo? Mimi sina nafasi ya kukuhukumu, lakini hayo yote yanayotokea kwake yanatuonyesha nini?
 
Rais wako mstaafu unamwita hivyo? Mimi sina nafasi ya kukuhukumu, lakini hayo yote yanayotokea kwake yanatuonyesha nini?
Tufanye kazi kwa weledi tusiendkeze maslahi binfsi, tuachane na tabia za chukua chako na uende zako
 
huyu ndugu anafaa sana tu,sijui kama marekani imebadili mtazamo wa miaka ile salim alikuwa anawania kiti hicho.
 
Hivi hio namba nane nayo pia ni qualification kumbe? Hhahaah this is a joke please
 
atamwambia nini Asaad wakati kamgogoro kazenji ameshindwa kukatatua,kwa utashi upi hasa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika haina tofauti na na kuwa mwenyekiti wa kamati za kitchen party kila wacho azimia miaka nenda rudi hawafanikiwi..
 
Aisee, sijui Donald Trump atakubali Watanzania tupate 'bahati' hiyo!
By the way, hivi hiyo nafasi nako kuna mambo ya first lady na WAMA!?
 
My model, the best President ever in Tanzania.
You mean the guy who didn't know why his country was poor? You mean, the man on whose watch three quarters of our elephants were massacred? You mean Vasco da Gama, former friend of the Pied Piper of Hammelin? The best president ever? A very bad joke conceived in very poor taste.
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…