Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,429
Reaction score
108,577
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi

Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.

Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.

Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.

Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.

Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha
 
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi

Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.

Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.

Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.

Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.

Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha wewe ni mjinga kabisa na Wasabato sijajuwa hasa tatizo lenu kichwani ni nini hasa?

pombe ni sumu acha, na mtafute ndodi akupe dawa ya kuacha pombe.
 
kumbe shida ni alipoiponda pombe!Kama kweli wewe ni mkristo haitakuboa ukiona mtu anasoma biblia au kuhubiri habari za Yesu,vinginevyo Ukristo wako utakuwa na mushkeli.
 
Namkubal sana dr. Ndodi toka enzi zile akiwa mwalimu wangu wa secondary. ..
 
Kumbe tatizo lako weye ni la kibinafsi zaidi kwa sababu ya kilaji na mwanzo ulivyoingiza vijana wa kiislam ilikuwa geresha tu!

pombe ni sumu acha, na mtafute ndodi akupe dawa ya kuacha pombe.

kumbe shida ni alipoiponda pombe!Kama kweli wewe ni mkristo haitakuboa ukiona mtu anasoma biblia au kuhubiri habari za Yesu,vinginevyo Ukristo wako utakuwa na mushkeli.

Simple minded just like Dr Ndodi Non alcohol beer ni pombe? Nyinyi hamuwezi kunywa Baltika?
 
beer
bir/
noun
an alcoholic drink made from yeast-fermented malt flavored with hops.
"a pint of beer"
 
Acha kumsikiliza,zaidi sikiliza kipindi cha NYota na utabiri kwenye channel ten.
 
Kama jana nimecheka sana tena sana , nilikuwa namsikiliza RFA akasema kuw aameona kifungu kwenye Biblia kinachokataza Mwafrika kuoana na mzungu, yaani ni kosa kubwa sana kwa hawa watu 2 kuoana, ingawa hakukitaja kifungu husika.

Nilibaki nacheka na kujisemea, kuliko kumsikiliza huyu jamaa bora niwe hata nafatilia katuni ya Junior Jumbo kwani na mambo yao ya hisabatii.....kwani kuna kitu naweza jifunz kikanijenga kuliko chenga chenga za huyu jamaa.
 
Hata mimi nilimsikia mkuu sikutaka kuyareport yote angalau wewe umenisaidia.
 
Last edited by a moderator:
All alcohoo are beer but not all beer are alcohol...

Usipende kujitoa ufahamu

Umeandika nini? Hiyo lugha haieleweki ni kiingereza au kilugha chenu. Next time andika lugha unayoimudu pia ujumbe wako utafika tu bila kukashifu
 
Back
Top Bottom