Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,154
- 162,570
Navyojua ni kuwa, mtumishi wa umma akifukuzwa kazi,basi kuna haki zake ambazo huzipoteza.
Je,Dr.Hoseah, kama mtumishi wa umma,nae hatolipwa baadhi ya stahiki zake?
Kama atalipwa, je,itakuwa ni sahihi kuamini kuwa katimuliwa?
Nini hasa maana ya kutengua uteuzi wa mtu?