Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
.Wow wow just a minute .. Let us be realistic .. Mnamipiga kelele Hosea Hosea awapeleke Kisutu, akishawapeleka Kisutu then what next! Una maana ukishapelekwa kisutu basi tumeishinda rushwa? Wangapi wamepelekwa Kisutu. Case in point EPA, si walipelekwa Kisutu na sheria inasema wazi kuwa dhamana ni 50% ya thamani ya kile unachoshitakiwa. Within a few days sheria zikabadilishwa hadi sijui 5% na watu wakarudishiwa pesa zetu mchana kweuupe! Give me a break! Mbona Augustino alitoa directive washushiwe dau la dhamana!
Hosea/PCCB kampeleka Liyumba mahakamani sawaa; Je ni nani alimwachia huru kwa makusudi kabisaa wakati then wanatuhadaa kuwa ilikuwa ni makosa! Sasa hivi yupo mitaani na ana protection ya "state" amini usiamini. Watu wanaomhifadhi Liyumba sasa hivi ni wale wanaolindwa na FFU majumbani! Kwani Chavda "alipokimbia" alikuwa nyumbani kwa nani? And I can guarantee you hili nalo ndo mwisho wake, tusubiri jingine.
Nadhani pamoja na "madhambi" ya Hosea, "usukuma" etc, issue ya kuwakamata watu na kuwapamba kwenye magazeti wakionekana kupandishwa kizimbani na kupelekwa Keko siyo kupambana na rushwa kama eventually sheria za kuwaadhibu are non existent.
Rushwa itadhibitiwa pale tu serikali itakapoamua kutupilia mbali uongozi wa sheria kwenye maswala ya rushwa na kuamua kutupilia mbali procedures za mahakama ambazo zina loopholes kibao na mahakimu wenyewe wamepewa uwezo mpana mno wa kuamua lolote in the spirit of "Uhuru wa mahakama". Kwa mfano huwezi kutumia vigezo vya "direct evidence" kwenye issues za rushwa wakati ushahidi dhidi ya rushwa mostly will be based on circumstances hence the use of "circumstantial evidence".
Rushwa kamwe haita dhibitika using conventional methods, kama tuko serious tuwaige wachina - firing squad au sana sana jela maisha! Wale waliohusika na tainted milk scandal in China wamepigwa risasi na wengine wamefungwa maisha. Huko marekani jamaa waliohusika na salmonella tainting kwenye peanut butter wameamua ku-invoke "fifth amendment" katika katiba ya marekani na wanadunda mitaani huku watu wamekufa kutokana na uzembe wao.
So long as we want to embrace both worlds - utawala wa sheria na haki za binadamu - while rushwa is against both - graft is here to stay and the Hoseas will come and go na tutazidi kulumbana JF!
ZalendoHalisi
Zalendohalisi, nimekupata mkuu. Ila tu kwa kifupi don Hosea ile taasisi siyo right kwake. Aondoke. Yeye anaitumikia state na si jamii. Tunahitaji mtu mwenye kujali maslahi ya wananchi na si vimemo.