Mama Bisimba: Leo asubuhi ulikuwa katika mjadala wa kisiasa Star Tv.
Hata kabla ya mjadala kuanza nilishangaa uwepo wako pale kutokana na utambulisho uliotolewa kuhusu panelists wenzako waliokuwapo pale.
Sikushangaa kuwa baada ya muda mfupi tuliambiwa kuwa umepata udhuru na umeaga na kuwaacha waliobaki waendelee.
Kwa hadhi yako ni vizuri ukawa unachagua mialiko ya kwenda kuchangia hasa ukizingatia ni nani mwendesha kipindi na ni nani washiriki wa mjadala.
Vipindi vingi vya mijadala ya kisiasa vya Star tv ni vyepesi mno na waendeshaji wa vipindi ni "mediocre".