DR Haji Mponda alidanganya BUNGE??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR Haji Mponda alidanganya BUNGE???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bulunga, Feb 6, 2012.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ningependa kujua kama Waziri wa Afya Dr Mponda kama alidanganya bunge wakati wa utetezi wake dhidi ya mgoma wa ma DR kuwa

  1)Mgogoro ulikuwa haupo ktk hosiptals za KCMC, Bugando na kuwa Muhimbili hali ilikuwa imeanza kurejea ktk hali ya kawaida
  2) je kwa kusema kuwa DR Ulimboka sio DR:A S 465:

  naomba maoni yenu hasa wakati huu tukisubiri hatima ya kamati ya bunge kufanya kazi iliyoagizwa
   
Loading...