eti wakuu, .............................huyu ndiye mwakyembe mpya??................................................... dah!!.................., kweli kabisa anastahili maombi....................
hAPA ndipo roho ya thread ilipokaa!hivi wapiiga kura wake wa kyela na mbeya in general wana hisia gani kwa haya yanayofanyika kwa viongozi wao wa kuchaguliwa?
Ndugu Watanzania nikiwa mtanzania mwenye Imani thabiti napenda kuwahakikishia yakuwa Dr Harison Mwakiembe atapona, baada yakuwepo gumzo kubwa kila kona ya Tanzania at the last Dr Harson atapona, pamoja yale ametendewa kama ametegwa ama wamefanyaje ila Mungu alie lifanya Taifa la Tanzania anataka watanzania na dunia kuwa yupo Mungu alie Hai. Dr Harson si wakwanza kupita ktk mapito mazito ila ilimpasa kuyapita ili Mungu akatukuzwe na wale ambao ni Majambaz wa Taifa ili wakajuwe Hawawezi kushindana na Mungu Alie Hai. Ndugu watanzania ninapenda kuwatia moyo nakuwa ambia msitegeme kusikia wala kusubiri kifo cha Dr Mwakiembe ila chakushangaza mtavisikia vifo vya watu hamkuwategemea ambao yawezekana wakawa ktk kundi lile la mashaka! Tanzania inaenda kupita kipindi kigumu cha mabadiliko lakini after that! Taifa jipya litazaliwa ndani ya Tanzania! Kila chemi chemi za Baraka zitashuka kwa Taifa hili na badala yakulia tutacheka. Lamsing tumuombe Mungu Rais wa Jamuhur ya Muungano wa Tanzania ili akaweze kutekeleza mabadiliko haya magumu kwake. Anaitaji duwa na sala za kila Mtu pia watu wa usalama hasa kikosi maalumu cha Rais nilazima mumlinde Rais wa sasa kwa gharama yeyote ile watanzania tusiogope kodi yetu kutumika kumlinda rais wetu maana anapaswa kulindwa tena sana. Tahadhari msimwache Rais kula kusalimiana,kufanya jambo lolote bila usalama kuwa karibu. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongonzi na wananchi wa Tanzania! Amen!
amina!Atapona katika Jina moja lililo Kuu na damu takatifu iliyomwagika pale Kalvari,Yaani Jina la Yesu!
Mwakyembe Pona katika Jina la Yesu! Wote JF semeni Amen!
Ndugu Watanzania nikiwa mtanzania mwenye Imani thabiti napenda kuwahakikishia yakuwa Dr Harison Mwakiembe atapona, baada yakuwepo gumzo kubwa kila kona ya Tanzania at the last Dr Harson atapona, pamoja yale ametendewa kama ametegwa ama wamefanyaje ila Mungu alie lifanya Taifa la Tanzania anataka watanzania na dunia kuwa yupo Mungu alie Hai. Dr Harson si wakwanza kupita ktk mapito mazito ila ilimpasa kuyapita ili Mungu akatukuzwe na wale ambao ni Majambaz wa Taifa ili wakajuwe Hawawezi kushindana na Mungu Alie Hai. Ndugu watanzania ninapenda kuwatia moyo nakuwa ambia msitegeme kusikia wala kusubiri kifo cha Dr Mwakiembe ila chakushangaza mtavisikia vifo vya watu hamkuwategemea ambao yawezekana wakawa ktk kundi lile la mashaka! Tanzania inaenda kupita kipindi kigumu cha mabadiliko lakini after that! Taifa jipya litazaliwa ndani ya Tanzania! Kila chemi chemi za Baraka zitashuka kwa Taifa hili na badala yakulia tutacheka. Lamsing tumuombe Mungu Rais wa Jamuhur ya Muungano wa Tanzania ili akaweze kutekeleza mabadiliko haya magumu kwake. Anaitaji duwa na sala za kila Mtu pia watu wa usalama hasa kikosi maalumu cha Rais nilazima mumlinde Rais wa sasa kwa gharama yeyote ile watanzania tusiogope kodi yetu kutumika kumlinda rais wetu maana anapaswa kulindwa tena sana. Tahadhari msimwache Rais kula kusalimiana,kufanya jambo lolote bila usalama kuwa karibu. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongonzi na wananchi wa Tanzania! Amen!
We mganga wa kienyeji? au mtabiri!
Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure! umeanza kuweka imani kwa Mungu unamalizia kuwategemea walinzi hujui kama neno la Mungu linasema "amelaaniwa amtegemeaye manadamu?" Yeremia 17:5 na Nyerere alisema mkiona tumenza kujiimarishia ulinzi mjue tumeanza kuwaibia. sasa naona na wewe kwa njia moja ama nyingine unataka kuanzisha wizi/ubadhilifu wa mali ya umma/kodi ya watanzania. Je, maraisi waliouawa hawakuwa na walinzi? mwamini Mungu awape hekima na kibali viongozi mbele ya wananchi ifike wakati badala ya kuongeza ulinzi walinzi waondolewe kabisa wakafanye kazi zingine, watu zaidi ya 100 wanalinda mtu mmoja wangefanya shughuli zingine za kimaendeleo unaonaje? kweli "watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" Hosea 4:6. Lakini "mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru" Yohana 8:32. hapo hakuna cha ulinzi kwani kweli inajilinda yenyewe.