Dr.Godbless Charles won his Appeal against Medical Council of Tanganyika(MCT)

Mkuu sijui kama kuna kusahihisha pale!! Kama hatuwezi lugha za wenzetu tutumie tu hiki kimatumbi, tutajiepusha na mengi!

Hata hii lugha yetu ya kimatumbi kuna wakati inatutingisha,cha msingi tusaidiane kuboresha lugha.
 
Duh! Usinikumbushe issue ya Chole mzee, nakumbuka ilikua mida ya saa 11/12 jion pale geti la chole baada ya timbwili la kutwa nzima basi tukaamua tumuachie mama Mwantumu Mahiza aondoke, sasa mzee Prof.KP akataka kutumia upenyo huo akimbie ndani ya gx lake, mwanangu nikajitosa kati ya gari la wwaziri na Kp kilinuka ni balaa

Dahhh...
 
Hongera sana kaka!!

Mungu akutie Nguvu katika mapambano haya naamini huu ni mwanzo tu wa vitu vingi sana unavyoweza fanyia jamii yetu hii iliyozungukwa na dhuluma ya kila aina! Binafsi nakufahamu kama moja ya azina chache ya vijana wa Taifa hili ambao wanaweza kusimamia wanachokiamini kwa vitendo na hata kwa gharama yoyote!! sijawahi kujutia kuwa chini ya jeshi lako!!

Bravo Godbless as your name God Bless you Much More!!











DR- GODBLESS CHARLES HAS WON HIS -APPEAL- AGAINST MEDICAL- COUNCIL- OF TANGANYIKA- (- MCT- )-

This is meant to inform you all that- -yesterday, on 30th April 2014 -at High court of Tanzania, judgment- was read --by Hon Judge Augustine Shangwe- who quashed the sentence -given by MCT- and ordered- the- registration of the name of Dr Charles Godbless to be reinstated- in the registry and immediately resume Internship working at Temeke referral hospital. -

-MCT previously filed-- two preliminary objections to the appeal which were all quashed by the court.

In reaching his conclusion, the presiding Judge accepted all the grounds brought forward by our advocate. The printed copy of judgment which has full narratives of the case will be available in two weeks time.

I congratulate our advocate, Prof --Abdallah Safari and the appellant Dr Godbless Charless for winning this case.

-I also congratulate and appreciate all of you who participated to provide moral and financial support.

Much thanks and May Almighty GOD bless all of -you .

TUMSHUKURU- -MUNGU .

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/516246-dr-godbless-charles-afungua-kesi-ya-rufaa-dhidi-ya-baraza-la-madaktari-tanganyika-medical-council-o.html
 
Duh! Usinikumbushe issue ya Chole mzee, nakumbuka ilikua mida ya saa 11/12 jion pale geti la chole baada ya timbwili la kutwa nzima basi tukaamua tumuachie mama Mwantumu Mahiza aondoke, sasa mzee Prof.KP akataka kutumia upenyo huo akimbie ndani ya gx lake, mwanangu nikajitosa kati ya gari la wwaziri na Kp kilinuka ni balaa

Kumbe mlikuwepo wengi pale!! Nakumbuka namna tulivyotembea toka wizaran pale karib na ikulu hadi chole kwa miguu! Tukalala nje usiku kucha!! Maisha bana!
 
Back
Top Bottom