Dr. Getrude Rwakatare ateuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum nafasi ya Sofia Simba

Nyumba yake iliyopo Ufukweni haitobomolewa tena!

Waziri wa Mazingira wakat wa Jk aliejaribu kutaka kuvunja lile Hekalu yakafanyika Marekebisho kidogo 'akatupisha'

January nae kwny hii awamu ya Tano alijaribu kurusha Miguu akaishia kuwavunjia wale wa Jangwani na Bonde la Mkwajuni!

Siku zote huchukua Ubunge kutokana na Matukio yasiyo ya kawaida

2006 alipata Ubunge wa Viti Maalum baada ya Kifo cha Amina Chifupa, 2017 baada ya Kutimuliwa Sophia Simba
Ha haa! Ana nyota ya second selection... Fatilia hata sekondary ukute alifeli ila akachaguliwa second selection...
 
Ha haa! Ana nyota ya second selection... Fatilia hata sekondary ukute alifeli ila akachaguliwa second selection...



Kwny Soccer tunamwita super sub!

Ni Mshauri na Muwezeshaji wa Masuala ya Ndoa japo yeye Ndoa ilimshinda na kumtelekeza Mumewe pale Kigamboni Mikadi kwa Miaka kadhaa baada ya Michongo yake ya Misaada kutoka Marekani kuanza ku tick na kuanzisha Shule zake Maarufu hapa Nchini st Mary's zilizokuwa zinatambulika Kama za Mayatima na ni bure Kumbe kwa Wazungu analamba Hela za Ruzuku, huku anakamua Ada na Umeme wa Tanesco akawa anaiba mpaka Tanesco walivyomsitukia
 
Ule msemo wa kuwa bahati haiji mara mbili leo umefutiliwa mbali baada ya Dr. Getrude Lwakatare kuteuliwa kwa mara ya pili kuwa mbunge wa viti maalum kujaza nafasi ya mama Sofia Simba aliyevuliwa uanachama wa CCM na hivyo nafasi kuwa wazi.

Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndg. Kailima.

Ikumbukwe kuwa kwa mara ya kwanza Lwakatare alipata bahati kama hiyo ktk serikali ya awamu ya nne.
Mwenye nacho huongezewa
 
Huyu mana ajiandae kuwa kuni siku ya kiama ,mchungaji na mambo ya siasa wapi na wapi? Namhurumia sana
 
Sikumbuki sana ila tangu kipindi kile akiwa mbunge wa viti maalum.

Karibu mkuu
Sasa mbona unauliza kama ni kada. Hapo ndo nimeshangaa kama alikua ni mbunge automatic ni kada. Super sub ya CCM.

Btw aliingia kwa nafas ya Chifupa au Salome Mbatia. Mkuu Pohamba kuna ndugu kasema tofauti na ww na kumbukumbu zangu haziko vizuri
 
Back
Top Bottom