nenda kariakoo km unatoka kanisa la kkkt kuja barabara inayotoka uhuru kp left kwenda bugurun, barabara ya mwisho kabla hujatokeza barabara kubwa unaingia servis road upande wa kushoto, duka la 2 au la 3 kulia kwako wanauza pale tena wana model zote za DR DREE HEAD4N