Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

Fikira chovu nyumbangkeun kwako kunaharibika then unasema baba hausiki ni uchuro huo
 

Balozi wa nyumba 10
 
Cc: THE BIG SHOW
 
Malaysia hawajajibu barua yetu ya kuwataarifu kumteua Dk Dau kuwa balozi kule. Ni miezi minne sasa
 
Ni jambo la wakati tu maana kwa jinsi tunavyozidi kushuhudia madudu kutoka nssf naamini mh rais atakosa uzalendo na kuamua kufumba macho ili amtumbue tu
Kumtumbua ni kukosa uzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…