Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

Ni lini mabalozi walianza kureport?
 
Kateuliwa kuwa balozi ila bado hajapangiwa aende ubalozi upi...nafikiri baba jane anasubir mtu avurunde afanye yake.
 
Hilo sio kwamba hawajui isipokuwa ni uovu tu.. hotuba ya JPM ilikuwa wazi kabisa kuwa atapangiwa.
 
Kuteuliwa no swala moja na kupangiwa kaz niswala lingine,mtamtetea day weeee ila ukweli lazima afungwe,jpm amesema wazi hahitaji rushwa ktk chama chake sasa day hana pa kuhongea tena na watetez wake ndani ya ccm wataondoshwa sooon
 
Kama bado yupo dsm tunategemea mzee wa kutumbua basi huu ni wakati mzuri wa kumtumbua huyu dau kwa kushindwa kusimamia taasisi nyeti kama hii ya nssf na sasa kila kukicha tunaona mabilioni yametafunwa

Dau yu salama.Kumbuka Magufuri aliwahi kusema siku ya kufungua Daraja la Kigamboni kuwa bila bidii na jitihada binafsi ya Dau,Daraja la kigamboni lingechelewa au lisingejengwa.Labda Dau yawezekana ana mapungufu ya kibinadamu wa kawaida kwa kawaida mradi mkubwa kama huu haukosi vishawishi,nae ni binadamu si malaika .Kama alipewa pesa ya kubrush viatu sio mbaya.
 
Asante sana kiongozi inawezekana alikabidhiwa vijisenti vya kusafishia viatu
 
Jipe moyo unadhan jpm ni we kuchekea,atakuwaje salama wakati walokuwa chini take wanachunguzwa
 
Kuteuliwa no swala moja na kupangiwa kaz niswala lingine,mtamtetea day weeee ila ukweli lazima afungwe,jpm amesema wazi hahitaji rushwa ktk chama chake sasa day hana pa kuhongea tena na watetez wake ndani ya ccm wataondoshwa sooon
Tumetetea au tumeeleza ukweli wa issue .. na wewe kama nani unasema lazima afungwe..? Dau hawezi kufungwa hata iweje.. rejea ripoti ya CAG pia sikiliza hotuba ya JPM siku ya ufunguzi nini alisema kuhusu Dau.. acheni hizo shisha maana zinawalenywa.
 
Kama bado yupo dsm tunategemea mzee wa kutumbua basi huu ni wakati mzuri wa kumtumbua huyu dau kwa kushindwa kusimamia taasisi nyeti kama hii ya nssf na sasa kila kukicha tunaona mabilioni yametafunwa
Alhajj anawatoa roho wengi humu
 
Akhui hii mitwana yajua wapi shisha labda ulanzi na nyama za mbwa
Tumetetea au tumeeleza ukweli wa issue .. na wewe kama nani unasema lazima afungwe..? Dau hawezi kufungwa hata iweje.. rejea ripoti ya CAG pia sikiliza hotuba ya JPM siku ya ufunguzi nini alisema kuhusu Dau.. acheni hizo shisha maana zinawalenywa.
 
Wafiiidhaalika falyatanafasul mutanafisuun hapo ndipo alipowaua wagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…