kinachokuwasha ni niniKikubwa ni subira
Auto-pilot may not be needed here but strategic piloting.If he was involved in these issues angekamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sharia but haajakamatwa means hakuhusika period
Ni jambo la wakati tu maana kwa jinsi tunavyozidi kushuhudia madudu kutoka nssf naamini mh rais atakosa uzalendo na kuamua kufumba macho ili amtumbue tuIf he was involved in these issues angekamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sharia but haajakamatwa means hakuhusika period
Sasa pesa alizokuwa analipwa NCCF na mafao kapeleka wapi??Hivi kumbe dau ni tajiri?
NCCF ndo nini????Sasa pesa alizokuwa analipwa NCCF na mafao kapeleka wapi??
Sory NSSFNCCF ndo nini????
Sory nssfSasa pesa alizokuwa analipwa NCCF na mafao kapeleka wapi??
...ni balozi wa ile nchi ya kufikirikaWananchi kwa sasa tunajiuliza huyu Dr Dau ambaye alikuwa ni kiongozi mkubwa wa NSSF shirika ambalo lina jukumu ya kuhifadhi michango yetu ya kila mwezi, tumeambiwa amepewa ubalozi lakini hadi sasa hatujaambiwa ni nchi gani, huku nyuma tunashuhudia ufisadi mkubwa ukiibuliwa kwenye NSSF. Je huo ubalozi ni kichaka cha kumficha kumuokoa na kutumbuliwa?
Sharia= sheriaIf he was involved in these issues angekamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sharia but haajakamatwa means hakuhusika period