Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Dau wa NSSF kwenye TBC1: Aweka records straight

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MrNSSF, Nov 14, 2011.

 1. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii haihusini na thread ta Viwanja . Maswali na mambo mengi ambayo mlitaka kuyajua juu ya NSSF kaelezea juu ya :
  UMEME PROGRESS
  DARAJA LA KIGAMBONI
  MICHANGO AMBAYO INAKUSANYA SASA HIVI
  INVESTMENTS
  DIASPORA

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Na hili ni GAMBA lingine kimbilio la mafisadi
   
 3. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona hajasema chochote kuhusu gamba?
  unless unazovideo tofauti
   
 4. a

  arigold JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Thanks for the videos

  tatizo langu na huyu mheshimiwa ni hii kuvaa mikanzu na baragashia.

  Hivi kuna umuhimu gani kuvaa hivyo?

  whats so wrong na kuvaa suti ya kawaida kama wenzie wa PPF na kwingineko?

  mtu anaenda kudiscuss vitu serious, jamaa anaamua kuvaa kanzu na vikofia visivyomtosha

  amefanya hivyo wakati anapokea zawadi 77 tena toka kwa makamo wa rais

  leo anafanya hivyo hivyo kwenye matangazo ya TV yanayosikilizwa Tanzania nzima

  the man is either just arrogant au anatafuta ugomvi na watu tuuu
   
 5. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,768
  Likes Received: 1,948
  Trophy Points: 280
  Ni el shabab, ingia nssf makao makuu utadhani uko iran!
   
 6. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tuache ushabiki wa kichama na itikadi za kiimani these man ni Jembe bana, ona NSSF alipoifikisha leo imagine na pale alipoitoa, unaweza fananisha na hifadhi nyingine ya jamii inayoshindana nae?

  yeye na Kimei they are working bana
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako nini kwenye mavazi? Unavyodhani ni kuwa mtu hawezi kuzungumza mambo serious kwa sababu hajavaa suti au?
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mie nina allergy na suti kwani inawakilisha msalaba je nichukie kila mtu anayevaa suti? Udini unawaumiza watu wengine hadi basi. Kanzu na kofia ni vazi la ofisini la watu wa pwani limo katika dress code ya serikali kamuulize mheshimiwa mbowe kwanini alivaa bungeni kama wewe hupendi usivae lakini wengine wanavaa. Hongera Dr Dau kwa kazi nzuri.
   
 9. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,251
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  mfumo kristo bwana, eti mtu analaumu kanzu ma kofia! wakati nyinyi mnatuvalia misalabba mikubwaa kama nondo maofisini na bado maisha yanaendelea acheni udini wa ki..nge!
   
 10. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,251
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  na ukiingia TRA ni kama Vatican au?
   
 11. a

  arigold JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  enheeeee.....mtu kila kukicha na mijikanyu tuu

  mbona havai kofia za kumtosha kichwa?

  hivi mwongozo wa utumishi unasemaje kuhusu mavazi?

  mie huyu ananiudhi na huu uswahili uswahili wake kwenye mambo serious
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  thank you .... nilitaka nimuulize hayo maswali pia ..
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kajaribu kuingia UN huku umejitwika gubigubi kama utanusa pua humo. Ni huyu Jk ndo anawadekeza, Bunge sio Msikiti, hey Plz.
   
 14. J

  Judgment Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huoni 21 century unaongea utumbo kihivi ? Unam'judge m2 kupitia mavazi? Umefilickaje points za ku'share! Kuvaa suti & tai ww ndy unaona ndy maendeleo? Ukivaa kanzu material kichwani yanakua everpourated?
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  jina lako laendana na majibu yako.....
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hujui tu, lakini una matatizo makubwa sana ndugu yangu!!!
   
 17. J

  Judgment Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mswahili ww mzungu! Pum**vu
   
 18. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Msimlaumu sana inawezekana alitoka kwenye baraza la Iddi
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  hata kama hakutoka kwenye baraza la ead .. mavazi yake yanawakerea vipi..?! au walitaka angevaa bukta ! kuna thread moja alipokuwa sabasaba watu walimshambulia hivhivi... mtu anavaa vile anavyokisikia as long havunji sheria bana
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwani muswada wa utumishi unasemaje? Kanzu sio vazi la ofisini? Linsingelikuwa vazi la ofisini akina Zitto na Mbowe wangelivaa bungeni?
   
Loading...