Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

@ nancy punguza udini wewee! ISSA ni geneva based institution tena kwa wakatoliki sa hao waislam walompendelea wametouka wapi..?? basi angewekwa askofu ndo ufurahi...! mtu kama anaweza kitu jifunze kuapriciate huo udini utakupeleka pabaya ambako haukuwezi...!
 
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu
Please, hope ur not serious. Do you even know his background au umekurupuka? try to be fair. Angekuwa Mkristo pia nagekuwa amependelewa? Anyway, kama una maelezo ya ziada yatasaidia kuliko hivi tu
 
Migiro wa UN kasaidia nin Tz? Na Dau atasaidia nin?
Nashangaa mwaishia kutaka sifa za kitoto, eti jk kawa raic wa kwanza kuonana na Obama. Inakusaidiaje kama mwananch?
 
Dr. Dau's election took place on Wedsnesday night at the Cape Town International Conference Centre in Cape Town, South Africa, will hold office for three years. His constituency consists of 15 Eastern and Southern African countries.

Alongside him, Prince Dlamini Lonkhokhela of Swaziland has also been elected to the Bureau of universal social security organisation.

The two will represent Tanzania, South Africa, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, Swaziland, Zambia, Zimbabwe, Madaqgascar, Lesotho, Kenya, Uganda, Djibouti and RwandaThe International Social Security Association (ISSA) is the world's leading international organization bringing together national social security administrations and agencies.



"Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu "
ndugu yangu tusitawaliwe na dhana hii ya mtu kuchaguliwa kwa imani yake tuangalie sifa za watu na sehemu wanazopangiwa kuwajibika, je ni kweli DR Dau hana sifa stahiki kupata wadhifa huo zaidi ya kuwa ni muislam???
tuangalie sehemu alizopita na alivyofanya kazi je alijitahidi kufanikiwa au aliboronga?
tulenge kuangalia uwezo wa mtu na kuweka mbali imani yake
nani haamini SOKOINE (hayati) alivyokuwa mchapakazi na je KUBENEA hajitahidi kwa kazi yake?

Duuuuuh.....Hadi huko napo Kuna Udini???????? South?????? So na hao wengine wote ni waislamu????? Stop being stupid.......Achana na issue za Udini...Check kama Dr. Dau anafaa au hafai kwa kuangalia uwezo wake na Elimu yake......
 
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu

Huyu jamaa ni Osama kinoma lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ingawa ni mwenyekiti wa benki ya Barclays bado anaficha pesa uchagoni kama walivyomuibia nyumbani kwake siku chache zilizopita!! Ingekuwa enzi za utawala bora asingekuwa hapo Nssf mpaka leo hii; ashukuru udini ndio unatawala serikali ya Kikwete!!
 
Migiro wa UN kasaidia nin Tz? Na Dau atasaidia nin?
Nashangaa mwaishia kutaka sifa za kitoto, eti jk kawa raic wa kwanza kuonana na Obama. Inakusaidiaje kama mwananch?

kwani nchi yako ikichukua kombe la dunia inakusaidiaje kama mwananchi?
 
Huyu jamaa ni Osama kinoma lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ingawa ni mwenyekiti wa benki ya Barclays bado anaficha pesa uchagoni kama walivyomuibia nyumbani kwake siku chache zilizopita!! Ingekuwa enzi za utawala bora asingekuwa hapo Nssf mpaka leo hii; ashukuru udini ndio unatawala serikali ya Kikwete!!


Kumbe dau ni Mwenyekiti wa Bodi ya Barclays? Naomba nielimishwe uteuzi wake umefanywa na JK au Wazungu wenyewe?
 
Huyu jamaa ni Osama kinoma lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ingawa ni mwenyekiti wa benki ya Barclays bado anaficha pesa uchagoni kama walivyomuibia nyumbani kwake siku chache zilizopita!! Ingekuwa enzi za utawala bora asingekuwa hapo Nssf mpaka leo hii; ashukuru udini ndio unatawala serikali ya Kikwete!!

Mtu akipata post nzuri pia inakuwa issue!!!!!!!!!!!!!

Sasa hao akina Migiro unataka wawawekee fedha mifukoni????????????
 
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu
Nilijua tu. Na nimesoma hii habari kwa sababu hii tu.
Halafu eti watu wanasema hamna udini
Eti chadema si chama cha kidini wakati kimechaguliwa sehemu ambazo kuna ushawishi wa makanisa, ukiacha sehemu kama kigoma ambapo ushawishi ni wa mtu mwenyewe (mfano, kafulila, zitto)
Eti sababu ya kupingwa kikwete si udini na kwamba maisha ya watanzania kipindi cha mkapa yalikuwa mazuri sana kuliko kipindi hiki
eti barabara nyingi zilijengwa na mkapa eti kikwete hakufanya kitu
epa, meremeta, kiwira, tangold, rada, ndege ya rais, ndege/magari ya jeshi, na mengineyo mengi yametokea kipindi cha kikwete, kwani kipindi cha mkapa hali ilikuwa shwari,
na mengineyo mengi.
huko uswisi kuna muislam yupi unayemjua mbona wengi kama si wote ni wakristo
Ukiwa kafiri bwana, shida sana, unaogopa mpaka kivuli chako,
HONGERA DAKTARI RAMADHANI DAU, nenda ukatumikie watu, sisi si watu wa shari kama walivyo wenzetu, wanatuchekea mdomoni tu lakini yaliyopo kwenye vifua vyao ni makubwa, MUNGU NI SHAHIDI.
 
sawa dau kachaguliwa kwa uwezo wake. lakini basi jamani lets face it, huyo dau wenu ameshindwa hata kuvaa suti ya maana? wabongo bwana? mambo yao ovyoooooooo!!!
 
Nancy ananikumbusha wakati niko chuoni,tulipogombea uongozi wa chuo nilishangaa kuona tunaitwa kanisani na kuambiwa kuwa tusiwachague waislam maana tunawapa uzoefu.Tuliambiwa hata kama ni vikundi vya ngoma waislam wasiruhusiwe kupiga ila wao wacheze? Sasa yaelekea nancy huo mkakati aliushika vizuri.Hongera nancy

chuo gani hicho mkuu?

 
Tukubali tusikubali, like individuals, organizations change continuously, reacting to developments in their markets and to the arrival and departure of key people. And NSSF is no different in this case. In large corporations, these changes go on more or less unnoticed. But sometimes a Parastatal must change more quickly than this gradual evolution allows; it needs a break with the past, an accelerated pace of change-a transformation and this is what we've seen in NSSF since Dr Dau took over (when it used to be NPF) from the current Minister of Finance bwana Mustapha Mkulo.

Katika Corporate world kila successful corporate transformations and their leaders-Dr Ramadhani Dau at NSSF, Idrissa Rashid at TANESCO, Ali Mufuruki at Infotech and Kimei at CRDB have become the stuff of business legend in Tanzania. The transformed companies have achieved unprecedented competitive power, a pride in everything they undertake, and outsized returns to shareholders. What chief executive officer wouldn't want all of these things?

Last time I checked from NSSF website,members contributions at NSSF are being invested in variety of economic ventures including Government Bonds, real estates, company shares and participating in stock markets and stock exchange. Lakini hiyo haitoshi, we need NSSF waingie kwenye IPP(Independent Power Producers) kama walivyofanya wenzao Brazil, Kenya, Malaysia na hata India ambako Pensio funds walikuwa mbele kwenye mipango ya kutengeneza umeme.

We also need Daraja la Kigamboni na Mchikichini Housing Project zianze kazi as soon as possible and at the end of the day the drama of each corporate transformation unfolds in a different way, na mimi mtu tuu wa kawaida kama Bwana Muyaka would be the last person to prescribe a uniform script that must be followed in all cases. Mfano hatuwezi kumwambia Chechu at NHC au MGAWE at THA wafuate same prescriptions kama za Dr Dau at NSSF, Lakini I'm are convinced, however, that success in corporate transformations kama aliyofanya Dr Dau at NSSF is more than a matter of luck and that the art of leading them can be learned and in a turbulent competitive environment, this art may be the most important "core competence" of all maybe other CEOs ofPSPF,PPF na pension funds zingine can take a leaf from Dr Dau and start holistic approcha to restructiring and investments badala ya kujenga magorofa marefu left and right.

Congrats Dr Dau at least someone out there recognises what you are capable of.
 
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu

Wewe ni mdini acha kutuharibia nchi yetu. Umekosa sababu ingine ya maana ya kumkataa Dk. Dau unakimbilia dini wewe hautufai pengine ungezaliwa Ivory Cost kuwa nchi yako ya asili ingekufaa zaidi.
 
Wana JF, ni vema tukawa makini katika kutoa maoni yetu. Suala la udini linaonekana kupewa nafasi hata mahali ambapo halina sababu. Sasa siku tutakapokumbana nalo kimaukweliii itakuwa ngumu kubaini (ni kweli au uzushi tu). Tuwe makini kwani imani ni ya binafsi, mtu akishaamini kuwa mtu mwingine ni adui yake hakuna wa kumzuia kufanya lolote. Nawasilisha
kwani uongo? Amepewa kwa sababu ni muislamu mwenzao.
 
Back
Top Bottom