Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,046
2,000
The Secretary General of the International Social Security Associations (ISSA) Mr. Hans-Horst Konkolewsky (l) congratulates Dr Dau for being elected a member of the Governing Bureau of the organization at a brief function at the Cape Town International Conference Centre yesterday. During the short meeting between the two, the ISSA Secretary General confered the honour to Tanzania to host the next Africa Region Social Security Forum at a date to be announced later. this will bring together all social security funds in Africa.

Story and photo

by Alfred Ngotezi

The Director General of the National Social Security Fund (NSSF) Dr. Ramadhani Dau has been elected member of the Governing Bureau of the Geneva-based International Social Security Association (ISSA).

Dr. Dau's election took place on Wedsnesday night at the Cape Town International Conference Centre in Cape Town, South Africa, will hold office for three years. His constituency consists of 15 Eastern and Southern African countries.

Alongside him, Prince Dlamini Lonkhokhela of Swaziland has also been elected to the Bureau of universal social security organisation.

The two will represent Tanzania, South Africa, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, Swaziland, Zambia, Zimbabwe, Madaqgascar, Lesotho, Kenya, Uganda, Djibouti and RwandaThe International Social Security Association (ISSA) is the world's leading international organization bringing together national social security administrations and agencies.

The ISSA provides information, research, expert advice and platforms for members to build and promote dynamic social security systems and policy worldwide. Founded in 1927, the ISSA has around 340 member organizations in nearly 150 countries.

The President of the ISSA is Corazon de la Paz-Bernardo, from the Philippines, and the Secretary General is Hans-Horst Konkolewsky, from Denmark..


Kutoka kwa Michuzi Blog

My Take:
Hongera; ila binafsi nakusubiria Bandari, ATCL hapakufai. I hope they do it soon ukawahenyeshe kule...
Ila utaponyoka kuwa chini ya Magufuli..
 

masoudmwevi

Member
Aug 5, 2008
53
95
pongezi za dhati kwako DR DAU kwanini habari kama hizi hazirushwi kwenye tv zetu
jamaa ni mchapakazi kinoma kaza buti popote pale ukiwekwa unafaa naamini wewe ni KIRAKA
 

masoudmwevi

Member
Aug 5, 2008
53
95
Dr. Dau's election took place on Wedsnesday night at the Cape Town International Conference Centre in Cape Town, South Africa, will hold office for three years. His constituency consists of 15 Eastern and Southern African countries.

Alongside him, Prince Dlamini Lonkhokhela of Swaziland has also been elected to the Bureau of universal social security organisation.

The two will represent Tanzania, South Africa, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, Swaziland, Zambia, Zimbabwe, Madaqgascar, Lesotho, Kenya, Uganda, Djibouti and RwandaThe International Social Security Association (ISSA) is the world's leading international organization bringing together national social security administrations and agencies."Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu "
ndugu yangu tusitawaliwe na dhana hii ya mtu kuchaguliwa kwa imani yake tuangalie sifa za watu na sehemu wanazopangiwa kuwajibika, je ni kweli DR Dau hana sifa stahiki kupata wadhifa huo zaidi ya kuwa ni muislam???
tuangalie sehemu alizopita na alivyofanya kazi je alijitahidi kufanikiwa au aliboronga?
tulenge kuangalia uwezo wa mtu na kuweka mbali imani yake
nani haamini SOKOINE (hayati) alivyokuwa mchapakazi na je KUBENEA hajitahidi kwa kazi yake?
 

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,109
1,225
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu

Kuna watu wajinga humu sijapata kuona kila kitu akifanya muislamu kapendelewa endelea na ujinga wako nancy. Hongera Dr Dau wewe ni mmoja kati ya inspirational CEO hapa bongo
 

Karlmakeen

Member
Nov 5, 2010
17
0
Wana JF, ni vema tukawa makini katika kutoa maoni yetu. Suala la udini linaonekana kupewa nafasi hata mahali ambapo halina sababu. Sasa siku tutakapokumbana nalo kimaukweliii itakuwa ngumu kubaini (ni kweli au uzushi tu). Tuwe makini kwani imani ni ya binafsi, mtu akishaamini kuwa mtu mwingine ni adui yake hakuna wa kumzuia kufanya lolote. Nawasilisha
 

DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
Big up dau but we need to see how nssf benefit us -sio kuwapa akina manji na ccm pesa zetu, endelezeni wanachama wenu tuepukane na nyumba za tembe ni aibu.
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,206
1,195
Dr. Dau siyo wa kwanza kwenda kuwakilisha nchi, au kushika nyazifa kubwa kwenye jumuia au taasisi za kimataifa , wapo wengi tu lakini hatuoni tija zao kwa Taifa. Hata hawakemei mambo ya hovyo yanayoendelea humu nchini mpaka tunaingizwa mikenge tunatoa sawa na bure. Aende tu akale unyunyu na familia yake atuache huku tuna hangaika na hili shamba la bibi.

Sisi tunaobaki humu tukibanana ndo tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli siyo mwingine.
 

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,477
2,000
Nancy Nancy tarrrrtibu mkuu hii hali ya kuingiza udini kwenye kila jambo nadhani litatufikiha pabaya. Tujaribu kuwa na busara kidogo wajameni
udini hautatufikisha popote. Tuheshimu imani za watu zisiingiliane na chuki binafsi. Hope tutaelewana kwa hili Nancy. Tanzania ni yetu sote.
 

KALAMAZOO

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
265
0
Nancy ananikumbusha wakati niko chuoni,tulipogombea uongozi wa chuo nilishangaa kuona tunaitwa kanisani na kuambiwa kuwa tusiwachague waislam maana tunawapa uzoefu.Tuliambiwa hata kama ni vikundi vya ngoma waislam wasiruhusiwe kupiga ila wao wacheze? Sasa yaelekea nancy huo mkakati aliushika vizuri.Hongera nancy
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Dau kwa upande wangu sina details zake kwa sana so no commont ila hongeara zake.
Does that mean NSSF ataachia ngazi?
 

NgomaNgumu

Senior Member
Nov 20, 2010
194
0
Inatia moyo sana kuona mtanazania mwenzetu amefanikiwa kufika hatua kama hiyo no matter what. Ambalo alitakiwa alifanye mtu wa kawaida kwanza ni kumpongeza kwahiyo ninasema hongera sana. Ni kweli kua kila swala halikosi criticism lakin amejitahidi, ispokua cha kukumbushana tu ni kua maendeleo hayo yanatakiwa yareflect athari zake kwa taifa letu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom