Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kwahiyo ule Mpango wa kuigawanya DRC umeyeyuka Kagame na Museveni walikuwa wakitaka east DRC ijitengeKikao cha 18 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) kilichokaliwa Desemba 22, 2021 kimeikubali Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC
Hatua hiyo imekuja baada ya nchi hiyo kuomba kuwa mwanachama kwa barua iliyoandikwa Februari 27, 2021 ikielekezwa kwa Baraza la Mawaziri wa EAC
Dr-Congo inakuwa ni nchi ya kwanza kwa ukubwa ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikifuatiwa na Tanzania yenye kilometa za mraba 947,000
Naunga mkono hoja jina libadilishwe ila Drc Ina muingiliano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na mataifa ya EAC mkubwa kuliko Somalia.... in terms of geographical location Somalia and Somaliland ziko pazuri zaidi kuwa kwenye EAC kuliko DRC ambayo ni Central Africa. Jina la Jumuiya libadilishwe sasa; Central and East African Community - CEAC.
Sidhani kama huo mpango bado upo hai( kama kweli uliwahi kuwepo) maana Drc ashakuwa mwana EAC.Kwahiyo ule Mpango wa kuigawanya DRC umeyeyuka Kagame na Museveni walikuwa wakitaka east DRC ijitenge
DRC ilikuwa imegwe sema mpango utakuta sasaSidhani kama huo mpango bado upo hai( kama kweli uliwahi kuwepo) maana Drc ashakuwa mwana EAC.
Naunga mkono hoja jina libadilishwe ila Drc Ina muingiliano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na mataifa ya EAC mkubwa kuliko Somalia.
Ujamaa Mentality.wasije wakatuletea vita
Ina maana wewe hauoni vita vya Congo kila siku waasi?Ujamaa Mentality.
Kama Mliwaunga Sudan kusini wenye Roho ya kutu Tena AMBAO hata Kiswahili hakina nafasi kwao,mnashindwaje kuwaunga DRC ambayo zaidi ya Raia wake Milioni 30 wanazungumza Kiswahili?
Nathani ulikuwa unatania.
You are better than this Dude,Workup.
Pamoja na mapungufu mengine ya kimfumo, hao uliowaita "mwananchi mmoja mmoja" nao wanapaswa kuchangamka.Bado hii jumuiya haina vitu vya kumnufaisha mwananchi moja kwa moja. Ni watu wazima wanaokaa kupiga maporojo.