ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Uku hakuna ccm.Hali SI nzuri kabisa mungu awalinde kwa kweli
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
sanaa asee,,,,dah huzuni mnoDah izo pic zina sikitisha
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Kwahiyo tukae kimia! Najua ninyi mko kwa maombi tuombee.Mnapenda kuleta taarifa mbaya tu toka DRC, tuleteeni na nzuri, maana ni nyingi kuliko mbaya
Kakuliza nani
Mnapenda kuleta taarifa mbaya tu toka DRC, tuleteeni na nzuri, maana ni nyingi kuliko mbaya
Poleni sana! Kwanini huduma zote lazima zitoke Kinshasa?Huduma zote lazima zitoke Kinshasa hali nimbaya sana.Tuombee tuko kwa wakati mubaya.
Sent using Jamii Forums mobile app