Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Hatukani kuwepo kwa MunguKwa fact yako huamini vitu vingi sana, mbona wanadai tulitokana na sokwe au "the like" mbona sokwe hawabadiliki au hata binadamu mwenyewe, kakomea homosapiens tu😆😆, Na ukijua lengo la waIsrael kuzunguka jangwani uje ulete mada nzuri ueleweshwe. Tatizo moja la wanaopinga uwepo wa "Mungu" wanahitaji mambo yatokee kimwili, kwamba amuone Yesu huyu hapa, au wewe umuone punda anaongea,n.k! Bro fanya meditation, ukirudi na reallity utaeleweka!!!!! Na ntaomba unijuze whats beyond the blue sky??
Kuna ndivyo tulivyo, na vile tulivyofanywa tulivyo, kipande cha pili ndio cha kuhusu Ndugu, haya ni matokeo Ndugu. Si chanzo chetuA very nice speech! Waafrika huwa tunajitutumua sana!Kudai Legacy ambayo hatuuishi! Siku ambayo Wema na Uzuri wetu sisi kwa sisi kadri ya jinsi tunavyotendeana utakapozidi wema na Uzuri wa Wazungu tunaweza kudai hicho ambacho hao Afrocentric Scholars wanakidai kuhusu Afrika. - Vinginevyo Miafrika ndivyo Tulivyo.
Msamiati upi huo?Hatukani kuwepo kwa Mungu
Bali msamiati wa kiyahudi kumuhusu
AllahMsamiati upi huo?
Shida yenu nyie mnaponda sana vitabu vya kiyahudiKumuelewa muelewe nyabhingi, alotuletea andiko hili adhimu la professor Ben Yochanan
Hivi karibuni jamii ya binadamu imetambua, ya kuwa ubeberu dini ndio namna ya ukoloni na utumwa mkorofi zaidi, kwani hushambulia akili, yaani ni kama kirusi kwenye mwiliShida yenu nyie mnaponda sana vitabu vya kiyahudi
Tafsiri ya Dini Unaijua..?Hivi karibuni jamii ya binadamu imetambua, ya kuwa ubeberu dini ndio namna ya ukoloni na utumwa mkorofi zaidi, kwani hushambulia akili, yaani ni kama kirusi kwenye mwili
Mfumo wa kubuni aliojiwekea binadamu kuipa maana limwengu yake kwa kukiri na kutambua nguvu kuu chanzoTafsiri ya Dini Unaijua..?
Asante kwa udhati wakohuyo dr amesoma sana na katika kusoma kwake amekujakugundua kuna udanganyifu fulani umefanywa na jamii fulani dhidi ya jamii nyingine na ambao umewadumaza kiakili kifikra kiutamaduni nk nk.
Kimasomaso binti Hemedi na NyabinghiMfumo wa kubuni aliojiwekea binadamu kuipa maana limwengu yake kwa kukiri na kutambua nguvu kuu chanzo
Hata ibada yenu ya asili ni ya kubuni kama ilivyo ya wayahudi na ndio maana nayo hatuitakiMfumo wa kubuni aliojiwekea binadamu kuipa maana limwengu yake kwa kukiri na kutambua nguvu kuu chanzo
Tatizo ni kubuni ama Kuaminika? We unaitupa kamusi ya wahenga wako??Hata ibada yenu ya asili ni ya kubuni kama ilivyo ya wayahudi na ndio maana nayo hatuitaki
AppreciatedTUFANYE KAZI TUPATE CHAKULA NA MAHITAJI MUHIMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU, TUWAPE WATOTO WETU ELIMU NA MAARIFA YA NAMNA GANI YA KUWA HURU KWA KILA JAMBO, TUTENDEANE WEMA SISI KWA SISI NA KUZIDI SAANA KUUTAFUTA UKWELI.
Unalalamika TuTatizo ni kubuni ama Kuaminika? We unaitupa kamusi ya wahenga wako??
Basi nenda Jerusalem ukaongee kiswahili kama atakuelewa MTU, utakana vyote, lakini sio ngozi yako mpingo. Na hiyo ndio kamusi ya Mungu
Sawa, sisi tutashika vya kwetu, kila MTU ana haki ya kubuni, na kuunda vya kwake, iweje ubatilishe vya wenzio???? Myahudi chanzo cha dhambi ya ubaguzi wa rangi....Mungu alituumba tofauti, kila MTU vya kwake,
Naafiki binti hemedi
Binadamu WOTE tumepewa uhuru wa kufikiri na kuchagua. Hivi wayahudi bado wapo au kuna "wahayahudi" wamewekwa ili kuongezea chumvi urongo wa Magharibi??Allah
Yahweh, Jehova, Yesu, Ibrahim, Isaka. yakobo, Emmanueli, too much, Mungu si myahudi
Kwa maana ya dhana, uungu ulikuwepo toka enzi na enzi....iweje myahudi atuletee kamusi??? Napita tu Samahani. Binti hemedi, nakuelewa swadakta
Unalalamika Tu
Tafuteni hoja zenye mashiko na nyinyi kama walivyofanya wao
Ili Tupatie mizani kama kweli kuna uwezekano wa kuiba mpaja tamaduni ya mtu na ukafaulu kuteka watu kama wote kiwepesi_wepesi hivyo[/QUOTE
Sawa hoja yako inazingatiwa
Lakini hizi ni saa za hatari, hatari sana, sio mazoezi, hili ndo gem lenyewe