DR Bashiru na Polepole watawatoa kamasi nyie subiri

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,275
Reaction score
14,315
Nimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.

Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.
 
Sina uhakika,...ngoja nijionee kwenye hili la Membe kama kweli hao jamaa ni smart kama unavyowasifia mkuu
 
Ngoja watoane kamasi lichama lisambaratike tuanze maisha maana kwa sasa ni kama tuko ndani ya chupa
 
Polepole na bashiru kweli wapo smart sana bila speed governor wangekuwa zaidi ya hapo.
 
Nimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.

Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.
Uzuri ni kwamba mmeanza kulana nyie kwa nyie.

FB_IMG_1516185276501.jpg
 
Huwezi kuwa mlopokaji, hujitambui, msaliti na mnafiki wakati huo huo ukawa Smart! Hata kama ungeongelea sura au mavazi hawa watu hawajawahi na haitatokea wakawa smart hata siku.
 
Nimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.

Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.

Mkuu una wa-exaggrate sana at a level they are not!

Hata kama they are very clever,others are not stupid pia!

Just kill people the way you want but they will take their chances

Dont get surprised when the killer is the one getting killed!

Aint nobody's slouch either!
 
CCM kuna wengi wanaotaka madaraka sababu ni chama kipana na kikubwa sana..chadema ukionyesha hisia za kitu ndani ya muda mfupi wanakutambua haraka na unadhibitiwa..wengi wanataka madaraka ccm kufurahisha familia zao na rafiki zao..ref edward lowasa.
Enzi za jk akiwa bado rais na mwenyekiti tuliona minyukano ya kufa mtu hadi wapinzani wakasema jk chama kinamfia mikononi..hii ni sababu waliachia hii hali iliyoanza kimya kimya hadi ikakua..matokeo yake mawaziri wakaacha kufanya kazi na kujenga mitandao ya urais..
Tuliona kina membe wakijitokeza na kutangaza uadui na watz wenzao kiasi cha kutamba kuwa wakiwa marais fulani na fulani watahama nchi..
Kwa sasa bado wana fedha nyingi tu na wanaamini bado wana waungaji mikono ambao wanasubiri furaha baada ya dhiki pindi jamaa wakishika hatamu..kwa bahati mbaya harakati zao zimenaswa mapema sana..kwa sasa ccm na nchi vimebadilika sana..chochote ufanyacho gizani kitafahamika..hata mkifanyia vikao ulaya..sio kama kipindi cha jk.
 
Ccm na serekali ya Magu mshukuruni sana yule jamaa Mkeny....a,mana ndie mwana mikakati.Hao wengine wanapokea tu mawazo yake.Jamaa Kichwa sanaa.
 
Mi hata sijaelewa huku juu umeponda kidogo katikakati umeng'ata na kupuliza chini kabisa umesifia.
 
Nimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.

Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.
Acha kumlinganisha Membe na vitu vya kipuuzi.... Membe our president
 
Hili bandiko halina kitu, hao unao waita smart ni wachanga sana kwenye siasa!!! Mbona Membe anawatia hofu hivyo???
 
Bashiru na Polepole wachanga sana ktk siasa .
 
pole pole again????.............

anyway, kwa vile ni membe wanaweza mshinda ila ingekua ndio ile timu ya boys2men aisee wasingefurukuta hao vijana!
 
Mkuu una wa-exaggrate sana at a level they are not!

Hata kama they are very clever,others are not stupid pia!

Just kill people the way you want but they will take their chances

Dont get surprised when the killer is the one getting killed!

Aint nobody's slouch either!
ccm akili kubwa iliyowazidi ujanja wenye chama ni boys2men baaasi........

lile kundi liliposambaratika ndio basi tena hawana option ya kutoka
 
Back
Top Bottom