DR Bashiru na Polepole watawatoa kamasi nyie subiri

Nimeona sarakasi ambayo Membe kachezewa na pasipo kujuwa how smart this guys are akajiingiza kwenye tairi mchana kweupe pasipo kujuwa na sasa uwenda atatafuta msaada na huruma ya wananchi.
Kwanza nataka kuwahakikishia ukiacha Mzee Mangula na watu wachache ndani ya chama hawa vijana ni hatari na mtu usipo kuwa na akili kuwazidi utapata tabu nao sana.
Mtu mwenye akili anatabia moja tu kukutapisha while yeye anakaa kimya. Sio siri wakati Membe anatapika hawa jamaa wapo pembeni kuangalia ni aina gani yasindano watatumia kumfanya aache kutapika ila sio ache kutapika ila arud ktk msitari wanao utaka wao.

Hawa vijana sio wa mchezo na siwatishi ila muda utawajulisha nyote. Mtu kama Nnape au Kunana huwezi kuwalinganisha na hawa watu ni brain +. Wengi ndani ya chama hasa lile kundi naona ni muda muwafaka waka Hire watu wenye akili wawasaidie kufikiri ili wasijetokwa kamasi mchana kweupe.
Kiufupi mtasikia mengi ila vita hii itawaliza vilaza wengi yani kuna kitu kinaenda kufanyika mie nawaambia bora kuchutama tu maana sio kwa uchii huu watu watakao baki nao.. Yule mbunge anachongasana alie muweka Magu kwa sentence yake sijuwi ataliaaje...
Maana mahala pake hapatokuwepo na uwenda siasa ikawa historia..
Jamani tusiwachukue watu poa tutaumia
Badala yakuwapa darasa nadhani watawapa darasa nakuwafundisha siasa huyo ndio Dr Bashiru na huyu mwingine ndio Polepole msifikiri hawa ni Bashite... Sorry.
mtu unaandikaje uharo kama huu, hivi hapo umetoa point gani mkuu, Mengi katulia kimya hao watu wako na wanamgwaya wanataka ongee kwa lipi. likizo imeisha rudi shule mjini tuache watu wazima
 
Bashiru na Polepole wachanga sana ktk siasa .
Siyo wachanga tu kisiasa hata CCM yenyewe hawaijui; kuna makada wamekulia humo humo kwenye uongozi wa chama tangu Chipukizi hadi leo sasa utawaambia nini mtu wa juzi unakuja wanakupokea.
Mziki wa 2020 ndiyo unaanza!!
 
ccm akili kubwa iliyowazidi ujanja wenye chama ni boys2men baaasi........


lile kundi liliposambaratika ndio basi tena hawana option ya kutoka

Mkuu jifariji tu..

Tatizo wenye umiliki wa chama now think wana akili sana zaidi ya wengine,they are just dillusional!

Plus,it is stupid to think it is criminal others to be ambitious just like you do!
 
Hahahha upuuzi kabisa huu...hawa watoto wametoka kunyonya juzi eti ndo wamsumbue membe mwanadiplomasia wa kimataifa embu acha ujuha wewe ..membe angekua rais wako Leo ungekua unaongea huu upuuzi hapa ..
 
Back
Top Bottom