Dkt. Bashiru Ally umepoteza mwelekeo; hukuwa hivyo!

Nonsense! Wewe ni Dr wa wapi??? Huenda Udsm umeisikia tu ungekuwa umewahi kuwa bonafide student au graduate sina hakika kama ungejibu kama member wa kutoka au kuwahi kusoma pale!! Hata hvyo bado unaamini ktk ujumla wa mambo!! Unamansha nini kwanza kugeneralize kuwa Udsm dr una doubt nao??? Unaijua historia ya Udsm??? Ulichomanisha hapa mkuu ni kwamba wa Udsm ni feki hebu tuambie Original drs ni wa kutoka wapi??????? Pia elewa kwamba Dr Bashiru before alikuwa wap na sasa yuko wapi!! Pia unatakiwa uelewa kwamba hata ww au yeyote awe na uprofesa haimfanyi atoe hulka ya kibnadam hvyo Bashiru ni yule yule out of kuwa Dr!!! Anahulka ya ubnadam ule ule ambao hata kama ungekuwa ww ungeweza kujibu tena wewe navyooona ungechukua hata jiwe koz syo kwa kuwa disi madokta w Udsm. But worry not
 
Kama huyu alikuwa ni mkufunzi chuo kikuu, anatoa taswira gani kwa wanafunzi wake? Kweli madaraka yanalevya.
 
Tanzania ukiona mtu kama Dr ameingia kwenye siasa za kule ujue tayari hana PhD tena bali anakua yupo yupo siku ziende
 
Hivi ni kwanini wanasiasa wa Tanzania ni waoga sana maswali?Hawajiwezi kihoja? Uwezo mdogo wa kujieleza?

Katibu Mkuu wa CCM amenishangaza sana alivyokuwa akibwatuka na kufokea wanahabari walipomuuliza maswali.

Wanasiasa wa Tanzania wanapenda kusikia vitu laini laini.

Mwanahabari anakuuliza swali unaanza kwa kumuuliza, 'eti wewe ni mwanaCCM?'

Wanahabari mnafanya kazi ngumu sana,poleni!
 
Nonsense! Wewe ni Dr wa wapi??? Huenda Udsm umeisikia tu ungekuwa umewahi kuwa bonafide student au graduate sina hakika kama ungejibu kama member wa kutoka au kuwahi kusoma pale!! Hata hvyo bado unaamini ktk ujumla wa mambo!! Unamansha nini kwanza kugeneralize kuwa Udsm dr una doubt nao??? Unaijua historia ya Udsm??? Ulichomanisha hapa mkuu ni kwamba wa Udsm ni feki hebu tuambie Original drs ni wa kutoka wapi??????? Pia elewa kwamba Dr Bashiru before alikuwa wap na sasa yuko wapi!! Pia unatakiwa uelewa kwamba hata ww au yeyote awe na uprofesa haimfanyi atoe hulka ya kibnadam hvyo Bashiru ni yule yule out of kuwa Dr!!! Anahulka ya ubnadam ule ule ambao hata kama ungekuwa ww ungeweza kujibu tena wewe navyooona ungechukua hata jiwe koz syo kwa kuwa disi madokta w Udsm. But worry not
Unaandka Riwaya au?
 
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

wasomi wa Tanzania wanadhalilika kwa kasi sana
 
Nasikia huyo ni mtu aliyesoma kupata PhD kwa muda mrefu kupita kiasi kuliko wenzie wote katika idara yake!, Ndiyo maana may be anajibu maswali utafikiri kamanda wa sungusungu!.poor him!
 
Mpk sasa Dr. Bushiru=Willison Mkama
Wilson Mukama ndio alikuwa buda kweli kweli!! Vyeo vyake alivyopata alikuwa anabebwa na marehemu Kingunge!! Bashiru ni mwoga ametishwa na Magufuli pale alipokemea kauli yake juu ya watendaji kutojihusisha na siasa!!
 
Daah kingunge kwa kumleta Mkama alipotea Big time.
 
Watu na vyama vyao, Siasa na watu wake, Wazalendo na nchi yao. Siasa ina mwisho, Watu wana mwisho, Nchi yetu itadumu kwa miaka mingi kuliko watu na siasa.
 
Back
Top Bottom