Dr. Bana: Timu ya kampeni CCM ni Bomba

Dr. Bana: Timu ya kampeni CCM ni Bomba

Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.

Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu, leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.

Iko wapi credibility ya huyu mtu.

Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?

Huyo ni CCM damu yupo na REDET ile taasisi ya uchakachuaji aliyoachiwa na Mkandala wa UDSM.
 
hivi Dr Bana ndo naniii? mie ata simfahamu

huyu ni dr kama walivyo wakina dr kikwete dr manyaunyau dr sultan tamba ila yy ni kada wa ccm anayejificha kwenye taasisi ya takwimu za kutengeneza kwa computer ya RADET
 
Huyu msomi hajitambui huyu. Mimi simkubali yuko Bias sana huyu. Mimi natambua kuwa kila mtu ana msimamo wake, lakini kwenye ushauri na weledi wa kitaalamu hautaki msimamo binafsi bali uhalisia unaotokana na utaalamu katika eneo ulilobobea. Labda Phd yake amebobea kwenye CCM.

Nasikia amezikusanya hizo PHD na uzeeni
 
Back
Top Bottom