Dr. Bana: Timu ya kampeni CCM ni Bomba

Dr. Bana: Timu ya kampeni CCM ni Bomba

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,974
Reaction score
134,089
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.

Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu, leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.

Iko wapi credibility ya huyu mtu.

Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
 
Huyu Anajulikana Ni Dr. Kanjanja, Safari Hii Ile SACCOS Yake Inayofanya Utafiti feki ya (REDET ) Imeshindwa Kutoa Ubabaishaji wa Nani

Ni Kipenzi wa Watanzania Uchaguzi 20015. Huyu Ni Kada Mtiifu wa Kile Chama Cha Rangi ya Kijani. Mara Nyingi Amekuwa Akipewa

Uraji na Ma-CCM Kama Huo wa Msimamizi wa Uchaguzi N.K
 
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Huyu msomi hajitambui huyu. Mimi simkubali yuko Bias sana huyu. Mimi natambua kuwa kila mtu ana msimamo wake, lakini kwenye ushauri na weledi wa kitaalamu hautaki msimamo binafsi bali uhalisia unaotokana na utaalamu katika eneo ulilobobea. Labda Phd yake amebobea kwenye CCM.
 
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?

mbona unalalamika tangu mwazo hadi mwisho Wa thread usipanic relax bana Ndio maisha ya Africa hayo hutaki hama au ujinyonge
 
Njaa inamsumbua. Hawazi kuisema vibaya CCM ni opportunistic. Anategea kama Magufuri atakuwa Rais, basi akiomba kuongezewa muda wa kuendelea kufanya kazi UDSM atapata. Anaogopa likichompata Baregu???/au Mwalimu Lwaitama????? kukataliwa kuendela kufundisha. Ni mpuuzi, ndio maana hizi tafiti zao just shit them!
 
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Kwani kosa lake liko wapi kwani kusema ukweli ni kosa?
 
Kumbe ni kada wa CCM. Mwaka huu ataiona nguvu ya umma. CCM imeleta umaskini uliokithiri kwa Watanzania. WOTE TUIKATAE CCM>
 
Tatizo lenu nyie watu kila mtu anayekosoa hao viongozi wa ukawa basi lazima awe kada wa CCM, sasa kuna shida gani anaposema CCM wameunda timu bomba? Mpaka "wasomi" wengine kusema kaishia darasa la 3... maana inaonyesha mna elimu sana nyie. Mbowe kishawapofusha kwa mikumbo yenu kesho tu akisema hata mnywe sumu mtakunywa. Kama alivyowasafishia lowassa na kuwaambia wao wamepewa maelezo ya kutosha, nyie mmepewa? Ila nimegundua pia kwamba humu JF kila mmoja anajua zaidi haswa kwa matusi na kejeli ndo mnatoa majibu. Naona ndio wasomi nyie. Mnataka kujiona ni wafundishaji tu hamtaki kujifunza. Haya siku njema nawatakieni.
 
Watukanwe tu. Hakuna namna nyingine, kwa maana tumechoka. Watu wanaambiwa CCM ni janga wao wanaitetea tu. Watukanwe tu...
 
Mtazamo wake uheshimiwe,hii nchi kila mtu ana haki ya kuchagua,kusifia au kujiunga na chama chochote na kutoa Maoni popote,sioni kosa lake.
 
kiukweli timu ile sio Bana tu kila mtu kaikubali...wao hawana muda na mijini wamesema watajikita vijini walioko wapiga kura wao watiifu.
 
Huyu Dr.bana asikuumize kichwa sana kwani anajulikana ni CCM cadre. timu anayoisifia ni bomba kwao tu lakini kamwe haiwezi kugeuza matarajio ya watanzania
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
 
mbona unalalamika tangu mwazo hadi mwisho Wa thread usipanic relax bana Ndio maisha ya Africa hayo hutaki hama au ujinyonge

Looohhh!!! nimecheka sanaaaa, kweli hii ni Africa!!! Kazi ipo, badala ya kumsaidia naona kama umemsanifu. Hadi 25th October tutasikia mengi mwaka huu.
 
Back
Top Bottom