Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Jan 11, 2012 #1 Anadai suala la Chadema kudai Katiba mpya ulikuwa ni mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2015. Sasa wamenyang'anywa na JK. Wanabaki na kigugumizi. Anaongea mengi na mengine nadhani kwa mtizamo wangu ni kashifa.
Anadai suala la Chadema kudai Katiba mpya ulikuwa ni mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2015. Sasa wamenyang'anywa na JK. Wanabaki na kigugumizi. Anaongea mengi na mengine nadhani kwa mtizamo wangu ni kashifa.
B Baba Collins JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 502 Reaction score 106 Jan 11, 2012 #2 Mchumia tumbo huyu,sio yule tuliye mfahamu.
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 11, 2012 #3 ukishaingia redio uhuru kunanini tena?
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Jan 11, 2012 #4 Dr huyo,tena wa sayanc ya sihasa