Hivi tunadhani Bandari na Rasilimali zetu (Natural) wapi kuna faida?Umefanya Jamba jema sana ili baadaye tuje tufanye rejea ya nani alipatiq na nani alipuyanga.
Tunataka tuweke historia sawa ili hapo mbeleni tusije tukakimbiana mkuu. Nafahamu wanaospoti mkataba huu wa kimangungo mambo yakienda kombo watajitenga na kujidai hawakuwahi kusapoti.Umefanya Jamba jema sana ili baadaye tuje tufanye rejea ya nani alipatiq na nani alipuyanga.
Mkataba una umangungo upi?Tunataka tuweke historia sawa ili hapo mbeleni tusije tukakimbiana mkuu. Nafahamu wanaospoti mkataba huu wa kimangungo mambo yakienda kombo watajitenga na kujidai hawakuwahi kusapoti.
Hauna ukomo kivipi? Kwa mujibu wa yale makubaliano mwekezaji kapewa eneo lipi hadi uulize ukomo?Hauna ukomo na umehusisha bandari zote za kwenye bahari na maziwa special economic zones na anga la nchi. Kimsingi tumeuza nchi nzima.
Hebu tuambie wewe unafahamu mkataba unahusu nini na ni wa muda gani? Tuambie.Hauna ukomo kivipi? Kwa mujibu wa yale makubaliano mwekezaji kapewa eneo lipi hadi uulize ukomo?
Kwani pia kuna nwekezaji kapewa bandari yeyote au ziwa lolote au special economic yeyote kwa mujibu wa ule mkataba?