Kulikuwa na ukusanywaji wa vielelezo na kuangalia kama kuna wahusika zaidi ambao wanaweza kuharibu ushahidi kama wakiwa nje, hivi hizo tuhuma unaona ni ndogo? Na kwanini dada mtu atumie kauli ya uongo na ya kutaka kuonewa huruma na jamii ?? Na kwanini wanaharakati hudandia bus bila kujua linakoelekea kama sio upuuziHilo la kwanza, vipi kutompeleka mahakamani ndani ya masaa 48?