Tangu DPP Sylvester Mwakitalu ameamuru kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kosa la uhaini Tundu Lissu Serikali imekuwa ikipata aibu. Kule Kisutu wakati wa Committal proceeding wanasheria wa Serikali waliabishwa na kutoka vichwa chini.
Sasa wapo High Court ni aibu tupu. DPP ameshindwa kupeleka mashahidi wa kuaminika badala yake anapeleka wamachinga na bodaboda ambao wametishiwa kubambikiziwa kesi za uchochezi!
Mashahidi mapolisi ni aibu na fedheha kwa jeshi la polisi. Jeshi la polisi ni dhahiri limejaza vilaza wasiojua sheria wala wajibu wao!
Kutokana na yanayoendelea mahakamani hatuna budi kuhoji uwezo wa kitaaluma na wa kufikiri wa Sylvester Mwakitalu. Je anaelewa na kutathmini mwenendo wa kesi ya Tundu Lissu au ameamua kushupaza shingo ili kuonyesha ubabe wa Serikali?
Shame on you Sylvester Mwakitalu!
Mimi naona hii kesi iende mpaka mwisho km kweli Wana pumziAibu isiwe kubwa zaidi waachane na hiyo kesi tu
Si mpaka apewe maelekezo?Kesi imeishageuka vioja mahakamani mpaka maaskari wanacheka waziwazi bila kificho. Hapa dpp ni ku quit tu, hakuna namna!
Kuteuliwa kwa dpp kilaza si ndo furaha ya waumini wa maudenda? Wanashangaa ili serikali ilete mwingne eti?Hakuna anayemuhurumia DPP bali wanaishangaa Serikali kumteua kilaza kama Sylvester Mwakitalu kuwa DPP!
Wanyakyusa tunadhalilishwa sana! Tulia katudhalilisha, Mwambegele katudhalilisha, Mwakitalu naye ndio Huyu, tufanyeje jamani?Tangu DPP Sylvester Mwakitalu ameamuru kumkamata na kumfungulia mashtaka ya kosa la uhaini Tundu Lissu Serikali imekuwa ikipata aibu. Kule Kisutu wakati wa Committal proceeding wanasheria wa Serikali waliabishwa na kutoka vichwa chini.
Sasa wapo High Court ni aibu tupu. DPP ameshindwa kupeleka mashahidi wa kuaminika badala yake anapeleka wamachinga na bodaboda ambao wametishiwa kubambikiziwa kesi za uchochezi!
Mashahidi mapolisi ni aibu na fedheha kwa jeshi la polisi. Jeshi la polisi ni dhahiri limejaza vilaza wasiojua sheria wala wajibu wao!
Kutokana na yanayoendelea mahakamani hatuna budi kuhoji uwezo wa kitaaluma na wa kufikiri wa Sylvester Mwakitalu. Je anaelewa na kutathmini mwenendo wa kesi ya Tundu Lissu au ameamua kushupaza shingo ili kuonyesha ubabe wa Serikali?
Shame on you Sylvester Mwakitalu!
Chizi karogwa tenaHuu upendo wa kuhurumia dpp eti ataibika umetoka wapi ghafula?
πππππππ€£πββοΈπβοΈπ₯πππWanyakyusa tunadhalilishwa sana! Tulia katudhalilisha, Mwambegele katudhalilisha, Mwakitalu naye ndio Huyu, tufanyeje jamani?
Babu yangu alikua anasemaga wafokamiso π€£π€£π€£Wanyakyusa tunadhalilishwa sana! Tulia katudhalilisha, Mwambegele katudhalilisha, Mwakitalu naye ndio Huyu, tufanyeje jamani?