.
Watendaji baada ya kushtuka kuwa ikulu kuna boya wanaamua na kutenda watakavyo. Lakini haya yanayofanywa na watawala kwa sasa ni kwa maangamizi yao wenyewe.
.
Sasa nimeamini kuwa hapa nchini mwenye nguvu za maamuzi sio Rais Kikwete bali kuna kundi la watu ndio wanaotawala nchi hii!!! Siamini kabisa na hili nina uhakika kuwa Kikwete angeweza kumuamuru DPP afute hii kesi ya Idd Simba!!! I am dead certain that there are other forces outside the government who dictate what has to be done in our country; this is a very dangerous trend which renders our government IMPOTENT and a recipe for anarchy!!