maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Chini ya mkurugenzi huyu wa mashtaka serikali lazima kila siku itakuwa inapelekwa mchaka mchaka na washtakiwa.
Ebu fikirieni tangu akina Basil Mramba na mwenzie Daniel Yona wahukumiwe kwenda jela miaka mitatu mpaka wamemaliza kifungo leo ndiyo DPP anagundua kwamba kifungu cha 77 (1) alichotumia kukata rufaa ya kupinga hukumu hiyo si chenyewe na kwamba kifungu hicho kinahusu kesi ambayo haijaanza kusikilizwa.
Na hapa si kwamba hati hiyo ya rufani imeondolewa kwa kwenda kurekebishwa NO, rufaa imefutwa kabisa.
Ninapojaribu kupiga hesabu za uwiano naona kama kuna kamchezo fulani kaliendelea na rufaa ile ilikatwa kutegeshea kuona kama mawindo yatazaa matunda, yamezaa matunda rufaa imeondolewa. Nchi hii jamani.