Dpp 250 - printer... Machine ya kutolea lisiti

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,200
Reaction score
7,027

Kwa Wafanyabiashara!

Najua Mobile printer nyingi mnanunua za Kichina na zinawahi kuharibika....

Ni original sio Mchina....
Ipo na Cable yake kwa ku connect kwenye Computer.
Inatumia Bluetooth hivyo unaweza ku operate kwa kutumia Simu ya mkononi pia... Means Una feed taarifa za Bidhaa kwenye App ya Simu yako, then Una press Print out, Lisiti inatoka.

Zimebaki piece chache....Ukiwa interesting njoo inbox!
 
Tutajuaje kwamba hiyo siyo ya kichina? .Tunapiga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…