Ukisikia special diploma ndio kama wewe unachotaka kufanya sasa kama utakuwa unakumbuka kauli walizosema watu kuwa "Hawa wanafunzi ni vilaza "Nenda na wewe....nenda advance baadae utaenda huko unakotaka
Ukisikia special diploma ndio kama wewe unachotaka kufanya sasa kama utakuwa unakumbuka kauli walizosema watu kuwa "Hawa wanafunzi ni ****** "Nenda na wewe....nenda advance baadae utaenda huko unakotaka
mm labda cjielew hiv ukimaliza form4 unaweza ukawa mwl.wa sec kwel?au huyu dogo anachukulia uwalimu wa sec ni kwa wanafunzi hewaaaa be care nitakutumbua kwa madam..nda........

Duuh kumbe tayari ulikuwepo huko!!!!
Nenda advance alf ukapige msuli sana hiyo special diploma haitokuhusu tena. Unaweza ukaenda kwenye bachelor ya education direct. Best wishes