DP world kiko wapi?Tuliwaonya hamkusikia

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,398
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari

Nchi itatajirika kwa mapato

Leo kiko wapi?Nothing has change

Kiujumla hakuna kilichobadilika

Kwa haya mambo machafu yanayoendelea nchini kuna siku tu kitawaka, haiwezekani tupelekwepelekwe kama mbuzi tu...
 
Unajua kuna wakati ukiikataa sauti njema inayokupa wosia, utaishia kukanyaga maji taka. Kwanini unawasema DP World?
 
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari

Nchi itatajirika kwa mapato

Leo kiko wapi?Nothing has change

Kiujumla hakuna kilichobadilika

Kwa haya mambo machafu yanayoendelea nchini kuna siku tu kitawaka, haiwezekani tupelekwepelekwe kama mbuzi tu...
We kuna kiuongo kinakuwasha sana
 
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari

Nchi itatajirika kwa mapato

Leo kiko wapi?Nothing has change

Kiujumla hakuna kilichobadilika

Kwa haya mambo machafu yanayoendelea nchini kuna siku tu kitawaka, haiwezekani tupelekwepelekwe kama mbuzi tu...
Una uhakika?
 
Kimsboy aka Mwanapropaganda wa Shia kwa upande wa Afrika Mashariki
 
kipo kilichobadrika, fedha badala ya kwenda hazina inaingia kwenye private acounts …
 
Ivi ulipozaliwa ulianza kutembea na kwenda mbio au ulifinywa ukatoa makelele ya kulia ?
Sasa haya ya DPP ndio kwanza yamezaliwa ,haya si muujisa wa Nabii Issa Bin Marium kwa hapo hapo utaanza kutoa maneno tuseme faida .
Mbona mnatutia aibu kutaka faida ya papo kwa papo ,mna tatizo la kuuziwa au kuuza mali za wizi,,, eei ndio uzoefu wa kupata faida ya papo kwa papol
 
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari

Nchi itatajirika kwa mapato

Leo kiko wapi?Nothing has change

Kiujumla hakuna kilichobadilika

Kwa haya mambo machafu yanayoendelea nchini kuna siku tu kitawaka, haiwezekani tupelekwepelekwe kama mbuzi tu...
Screenshot_20250525_141152_Chrome.jpg
 
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari

Nchi itatajirika kwa mapato

Leo kiko wapi?Nothing has change

Kiujumla hakuna kilichobadilika

Kwa haya mambo machafu yanayoendelea nchini kuna siku tu kitawaka, haiwezekani tupelekwepelekwe kama mbuzi tu...
Watanganyika wamelala baado
 
Back
Top Bottom