DP World itaamua siasa za nchi hii kwa miaka zaidi ya 20 ijayo

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,347
Katika miaka mitano hadi kumi ijayo endapo IGA hii ya serikali na DP World haitakuwa kama wapinzani wanavyoisema kwa sasa basi upinzani utapoteza kuaminika kabisa na CCM itajichimbia mizizi ya kutawala hadi nusu karne nyingine ijayo.

Kama IGA hii itakuwa kama inavyosemwa na wapinzani basi hakuna namna CCM itaweza kuendelea kuhodhi madaraka ya nchi tena.

Itaopeteza kabisa support muhimu ilizo nazo kwa sasa.

Suala la DP World ni kubwa sana na muda utazungumza vizuri zaidi.
 
Bora ccm iendelee kupeta kuliko hawa akina Lissu wenye chuki! Mama akimaliza hapo 2030 aje dkt Hussein Mwinyi hadi 2040 kisha January Makamba hadi 2050. Maendeleo yatakuwa swaaaafi.
 
Back
Top Bottom