Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii
Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo
Nini kinaendelea kwa sasa ?
kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027