TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Mkumbushe pia vituko vyake kule Tarime.Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae akakupa mtizamo
wake.
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga hoja akiwa Tosamaganga Sec.School ambapo baba yangu 'alikaacha kakiwa Santen' Baba yangu alitumia neno 'kali' kwa sababu ya udogo aliokuwa nao Chris kadhalika babu yangu alimfumdisha History huyu Rev MT.SASA ANAZEEKA,FIKRA ZINADHOOFU KWA HIYO NAMSHAURI AFANYE KAMA Nccr AUNGANISHE NGUVU NA CDM ILI MAJIMBO YA MAKETE,LUDEWA YAWE NA WABUNGE TOKA DP. NAIMANI KWA HIYO ALLIENCE MH.REV MT UTAONYESHA UJASIRI UNAOWAKILISHA SISI WANYALU WOTE NA PIA KUMBUKA CDM NAO WANATUMIA KAULI MBIU KAMA YA DP YAANI SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA. Unganisha na uonyeshe uintellectual ambao Marehemu mwalimu wako wa history na mwl.mwakisusange walikuwa wanakusifia kwa ujasiri wako katika kweli.
Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae akakupa mtizamo wake.
Vimelea vya ukabila!
Mzee unakumbukumbu sana, nakumbuka huyu jamaa mwaka 1990 wakati bado kuna mvutano wa kuruhusiwa vyama vingi alikuwa anajitepu kwenye kanda maneno ya kumkashifu Nyerere na kutuletea Chuo kikuu kutuuzia kwa kificho. Watu walikuwa wanaogopa hata kuzisikiliza kanda zake kwa sauti kubwa kwa kuongopa yale maneno yake makali. Ingawa amechangia katika ustawi wa mageuzi lakini kwa sehemu kubwa amechangia kudidimiza mageuzi.Kunguru hafugiki!! Nakumbuka kuwa Mim i na Rafiki zangu tulimchangia fedha aiende Kigoma kumfanyia kampeni DK. Warid Kabouru wakati huo akiwa CHADEMA ili ukombozi wa Tanganyika uanzie Kigoma kwenye uchaguzi mdogo wa kwanza baada ya kuanza kwa vyama vingi(1993), lakini hakuweza kwenda maana Inteligensia ya Wanamagamba walimdaka Airport!!!! Angelikuwa si kunguru, CHADEMA ingemfuga tangu wakati huo!!!
Je unakumbuka baada ya Kolimba kufariki, Mtikila alidhaminiwa kugombea huko? kipi kilichotokea?
huyu ni mchungaji hadi leo lakini sijawahi kusikia DP ni chama cha kidini!!!
Vimelea vya ukabila!
Na zile pesa alizochukuwa kwa Rostam Aziz ameshalipa? maana petty cash voucher yake ninayo na nimeehifadhi kuweka kumbukumbu sawa.Nimejaribu kuposti link ya jinsi Mtikila alivyokataa hongo ya milioni 100!.
https://www.jamiiforums.com/habari-...a-mtikila-akataa-hongo-ya-millioni-100-a.html