Dozi ya Quinine ni vidonge vingapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dozi ya Quinine ni vidonge vingapi?

Discussion in 'JF Doctor' started by tizo1, Dec 18, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Madaktar habarin za mapumziko.JE dozi ya vidonge vya QUINENE kwa mtu mzima ni vidonge vingapi?30 au 42?msaada tafadhali.
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mapumziko ndo yameisha mkuu bado tuko hoi:

  .... Awali dose ya kwinini inategemea uzito wa mtu.

  >> formula:

  1 kg = 10 mg ya quinine

  km mtu mwenye 45 kg
  45 x 10 = 450 mg

  kidonge 1 = 300 mg
  so dose hapa ni kidonge 1 na nusu.

  Mind u
  1.dose ni kile kiasi cha dawa unachomeza kwa mkupuo mmoja,
  kiasi cha dawa kumaliza tiba huitwa dosage(dozeji)

  2. Max dose ya qnn ni vidonge 2= 600mg)

  So kwa mtu wa kg 45 dozeji ni
  1.5 x 3 x 5 au 1.5 x 3 x 7
  ni vidonge 23 au 31 kutegemea na dr amekusudia mgonjwa atumie dawa kwa siku 5 au 7.

  [ Elewa dozeji ni kwa siku 5- 7 toka siku ya kuanza qnn, iwe umeanza na injection then vidonge ama ni vidonge pekee].

  Turudi kwenye swali lako inaonekana mgonjwa wako ana 60 kg or more na anatumia vidonge pekee,
  dose yake ni vidonge 2
  So dosage itakuwa:
  2 x 3x 5 [kwa siku 5] = 30
  AU
  2 x3 x7 [kama ni siku 7] = 42


  Kwa ufupi dose [kuanzia leo ita dosage] ya vidonge 30 ama 42 zote ni sahihi.

  ... DAKTARI ATACHEZA NA HUKUMU YOYOTE KATI YA HIZO,KUWAHUKUMU HAO WADUDU!
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  asante sana kwa kunielimisha.umenifuta ujinga brother.THANKS JF
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  ... Pa1 Broda !!!
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  nami nilikuwa na swali kama hili.....kabla ya kuuliza ilibidi nipitie kwanza kuona kama haipo humu ndani
   
Loading...