Doyou agree?

Aku

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu nilishawahi kumtema demu wa stahili kama hiyo, ilikuwaje:

Siku moja nilimtoa outing kwa mara ya kwanza kufika kiwanjani akaagiza soda ya Coca cola na kuku nusu. Kinyume na matarajio yangu kwamba alikuwa na njaa, yule demu alikula kama hiyo picha ya kwanza juu kuku finyango mbili tatu akasingizia kuku mwenyewe mgumu, soda akainywa nusu akaacha vyote.

Siku moja nikamtembelea nyumbani kwake kwa kushtukiza, bhana nilimkuta anakamua ugali wa kisukuma kwa matembele na samaki wa kibua wa kuchomwa. Kilichonichosha zaidi ni jinsi alivyokuwa anakula kama huyo wa picha namba mbili hapo chini. Ofcourse aliponiona kiaina alishtuka sana na mm nililiona hilo.

Akili yangu ilihoji kwamba alifanya vile kama kunikomoa na wala si hulka yake halisi, nilichoamua ni kugonga kufidia usumbufu na kusepa.
 
Wako hivyo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wapo kibaaaaaaaao.tena wakiwa hawalipii wao utakoma. Anaweza kuagiza ng'ombe mzima akala ulimi tu na kusema ameshiba.
 
In public salad, low carb low calories.

In private nguna looote.
 

mmmh haya bwana, ulimwambia? ulimshauri nini? au ndo ulimuacha tu, kama unampenda utamsaidia ili aepuke tabia hiyo mbaya ya kuigiza,usiishie kumsema tu.. watu tunatofautiana jamani labda mm ndo nipo tofauti, kitu chochote ambacho si cha kawaida kwangu yaan kitu mtu anachofanya kikaniboa lazima nimwambie on the spot! awe mpenzi wangu, mzazi ndugu rafiki au yeyote yule nimjue nisimjue.
 

wengi ambao ni malimbukeni hufanya hivi ili kuonekana kuwa labda hawafagilii au very special people kumbe wa kwa mtogole tu, mwenzio tabia kwangu ni kikohozi siwez kuificha, kama kula nakula jamani yaan nakula haswaaa sina uoga wala hofu yeyote in public or private, naweza kuwa tofauti hebu mdau mmoja humu anialike/nimualike lunch siku moja aone,..lol
 
ungemwambia avilipie yeye mwenyewe.
 
Wapo kibaaaaaaaao.tena wakiwa hawalipii wao utakoma. Anaweza kuagiza ng'ombe mzima akala ulimi tu na kusema ameshiba.
unamfungia alichobakisha akamalizie mbele ya safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…