GE2025 Doyo Hassan Doyo aahidi kupitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini

GE2025 Doyo Hassan Doyo aahidi kupitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Taifa, atapitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na uwepo wa rasilimali za madini.

Amesema mchakato huo utafanyika ndani ya miaka mitano ya uendeshaji wa nchi kwani ni mchakato unaohusisha masuala ya sheria, ukilenga kuondoa changamoto ya ajira kwa kutanua fursa ambazo hazipo kwa ajili ya watu kupata cha kufanya.

Doyo ametoa ahadi hiyo leo Oktoba 13, 2025 katika Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya kituo cha mabasi CDT.

Screenshot 2025-10-13 182212.png
 
Back
Top Bottom