Download Speed: Shkamoo Halotel

Kimahesabu, hata night bundle ya Airtel ni very cheap compared to Halotel ingawaje practically, hususani kama unatumia vocha za kukwangua za Airtel na haupo makini, unaweza kukuta end result ya Airtel inakuwa expensive zaidi kulinganisha na Halotel. Uzuri wa Halotel kwa upande wangu, zile 18GB za night offer huwa zinaisha kutokana na speed yake lakini zile 10GB za Airtel huwa aziishi! What I don't understand kwa Airtel ni kwamba, nikichukua night bundle ya 1GB speed inakuwa kubwa lakini 10 GB inakuwa ndogo-- am not sure kwamba inatokana siku na siku kutegemea na idadi ya watu waliojiunga na bundle husika or ni mbinu za kibiashara!
 
hawa akina voda walikuwa na nafasi nzuri ya kujiimarisha hadi vijijin lakin kiburi chao ndo hicho ndo kimewafanya wasipeleke huduma vijijin et kwa kuwa hamna wateja . sasa watashika adabu wenzao wameona fursa wakaitumia na sasa wananchi wameenza kuielewa vodacom kuliko mtandao mwingine wowote
 
Tunawasifu sawa ila bado trafic yao ndgo So tunaomba tujae tuwe weng halaf tuone ka hatujarud kwa watu wazima
 
Haaah haaaah kumbe wanaielewa Vodacom
 
Hata upewe GB laki, tatizo speed
 
Tumechoka
 
Configurations zao ni zipi hawa Jamaa maana nikiweka line kwenye simu yangu haisomi upande wa Internet
 
Nilienda Kaliua urambo tabora nov 2015, nilipata shida sana na line zangu za voda tigo na airtel, nikaona vibanda vya halotel nikauliza kwanza yule muuza vocha akanionyesha simu yake ikiwa na h+, fasta nikachukua aisee kwa mara ya kwanza niliweza pata 3g vijijini mpaka leo ninayo nipo znz, 3g mwendo mdundo, kweli shikamoo halotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…