Infopaedia JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,234 Reaction score 1,503 Jan 4, 2013 #1 Wadau, nikiwa kwenye simu yangu naingia kwenye web ya free movies kama kawaida. Lakini ili ni-download i have to right click and save link as. Sasa maujanja ya kupata "save as" sina wadau. Natumia samsung galaxy.
Wadau, nikiwa kwenye simu yangu naingia kwenye web ya free movies kama kawaida. Lakini ili ni-download i have to right click and save link as. Sasa maujanja ya kupata "save as" sina wadau. Natumia samsung galaxy.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,932 Reaction score 1,164 Jan 4, 2013 #2 Usitumie option ya save as, tumia open utaweza kudownload.