Kram Billz
Member
- Dec 1, 2012
- 75
- 81
6.21 mkuuhii ni version gani??
ndio mkuuhiyo version uliyonayo ni cracked?
IDM inazingua sana kama huna license.
nitaweka darasa lake siku
IDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
Pokofame kwann utumie 6.18 wakat version mpya zpo pa1 na crack zake.?IDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
Pokofame kwann utumie 6.18 wakat version mpya zpo pa1 na crack zake.?
Ki file gan mkuu hicho
Dadavua mkuu hicho kifile ni kipi maana dll file zipo nyingi we taja jina la hiyo dll file nikiondoe bila kurembaIDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
Hakatwi mtu hapa!!!!nitaweka darasa lake siku