Download free JF application for Blackberry

Mkuu naona jf ni msaada mkubwa sana,Mimi Minas ka blackbery 8310,nafungua internet kupitia opera mini 4,hii inashindwa kabisa ku down load hili faili la jf.au haina uwezo?pls
 
kwa hapa walio na blackberry sisi wenye vimeo hatutaweza hii application

 
Wa2 wananunua blackberry alafu wanaeka mini kabang kisha wanasumbua watu ah!mckurupuke
 
Young master umetutelekeza huku.jf
Kwenye z10 inapatikana?
 
I will download free JF application for blackberry soon using a source that has been shared with all of us.
 
Jamani wakuu mimi nimedown load whtsup imeniambia ni verify phone no nimeweka no inaandika tu Awaiting network tatizo nn
 
Application iko sawa, inaeleweka na inarahisisha, yani pm, like n.k

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mkuu me natumia Z30 najaribu kudownload majibu ni this App is not available for this device. Ebu nisaidie
 
Jamani hadi leo kwa Q10 sijapata hiyo app
 
Wakuu naona bado Jf ya BlackBerry z30 haipo: "The item is not available for your selected device"
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…