Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 936
jamani kuna wakati madilu system (RIP) na Franco (RIP) walikuwa wakiimba na wadada wawili Nana & Baniel. mi nawapenda sana na nyimbo zao mfano Masu, Layile, Tremblement de terre nk. jamani kama kuna mwenye nyimbo zao kama "mapenzi ni tabu" nk atuwekee
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Madilu System mahali pema peponi, amina
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Madilu System mahali pema peponi, amina