Atakayenunua Dowans ya safari hii aondolewe kwa maandamano. Kwani swali la kujiuliza ni hili: DOWANS na hiyo mitambo yake hawawezi kwenda kuzalisha umeme sehemu nyingine ila Tanzania tuu??? Mitambo inazunguka hapa hapa kutafuta kuhalalishwa iwe ya hapa, HATUTAKI NA WATANZANIA WA KWELI TUIKATAE HIYO MITAMBO. Iondoke hapa na kama inaenedelea kuchafua mazingira basi itaifishwe ili tuiteketeze isionekane ka Osama alivyosahaulika.
Linapotajwa jina DOWANS masikio ya wengi yanaingiza maumivu miilini mwao kama kuna wanaopenda kulisikia waanzishe nchi yao waipeleke mitambo hiyo kwao. Kondomu mbovu zimetoka marekani, mitambo mibovu inamilikishwa na mmarekani na anaishawishi TANESCO kuinunua, ikinunuliwa hiyo mitambo shirika libadirishwe liitwe KIKWETENESCO na izalishe umeme PWANI TU kwa faida na hasara yao wenyewe:tonguez::tonguez::tonguez:😛ound:😛ound: