Dowans for sell again

cream.b

Member
Apr 17, 2010
72
2
Hivi sisi watanzania tumelogwa au basi tu ujinga wetu.sasa dowans wanataka kununuliwa na kampuni ya kimarekani wakati bado tuna matatizo na hii dowans then sad enough Ngeleja anasema he doesnt know of such a thing.
 
Sio kurogwa! Tuna mifumo mibaya kupita maelezo...... yaani huwezi amini na ndio hawa jamaa wa nje wakishirikiana na viongozi wetu wa Chama tawala na Serikali wanatumia udhaifu wa mifumo yetu kunyonya rasilimali zetu mchana kweupe. Just imaginei waziri wa nishati/Mwanasheria Mkuu/CCM wanasema kuilipa DOWANS haiepukiki wakati swala hilo hata halijapitishwa ktk baraza la mawaziri. Ni kwamba kwa mfumo wetu ni sawa tu decisions kufanyika nje au ndani ya baraza la mawaziri au hata bila kupata baraka za Bunge. Yote haya yanafahamika vizuri na yameachwa hivyo kwa makusudi kwa manufaa ya wachache.

WanaJF nauliza toka sintofahamu ya uhakika ktk upatikanaji wa umeme je kuna juhudi zozote zimefanyika kuzuia hali hiyo isijitokeze tena?
 
hebu tuangalie pande zote, wewe unataka hukumu(sheria) ikajadiliwe na baraza la mawaziri?!, harafu?!
 
Hivi sisi watanzania tumelogwa au basi tu ujinga wetu.sasa dowans wanataka kununuliwa na kampuni ya kimarekani wakati bado tuna matatizo na hii dowans then sad enough Ngeleja anasema he doesnt know of such a thing.

sasa hivi dowans haina dili ( wala hisa) lolote na serikali, sasa kama inauzwa unataka waziri au mwanasheria mkuu wa serikali wajue ili iweje?
 
Back
Top Bottom