Dowans!dowans!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans!dowans!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MMASSY, Feb 2, 2011.

 1. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu wana Jf ni muhimu kutambua awali ya yote michango na post zenu mbalimbali ambazo zimekuwa na kila aina ya ujenzi wa hoja makini.La msingi hapa ni moja,wakati angalau kija MwanaJF anachangia hoja ya Dowans yupo against na malipo,je tunawaelimisha kweli wananchi hasa wa kule kijijini ambao hawajua Dowans ni nini na wanaamini kuwa CCM ndio chama pekee cha kuwalinda?Naombeni jibu!!
   
 2. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Amini, usiamini - Dowans sasa inajulikana kwa wananchi wengi; imekaribia mahali pa ile richmond. Unajua sasa hivi radio nyingi, za ndani na za nje zinazungumzia sana suala hili. Wananchi wanakasirika zaidi wanapojua kuwa dowans na richmond ni mtu na mtoto. Wanachoshindwa kuelewa ni Richmond ilifufukaje; walielezwa kuwa suala la richmond lilikwisha kule bungeni wanashangaa kuona linarudi tena. Hapo ndipo wabunge watapigwa maswali mpaka kieleweke.
   
Loading...