Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hivi yulle kiongozi wa chama cha upinzani aliyesema kura zake za urais uchaguzi 2010 apewe Kikwete ,alikuwa nani vile nimesahau .naomba umnikumbushe
Dovutwa alishindwa kabisa kujenga hoja kwenye malumbano ya hoja ITV wiki iliyopita. Mwongoza kipindi alijitahidi kumrejesha zaidi ya mara 3 akashindwa. Sisi tunajadili madara ya Rais, yeye anajadili muungano. Akatolewa hewani kwa nguvu.
Hoja hii ilivyojengwa vizuri kiufundi lazima amelishwa, si yake nina uhakika. Safari ya ukombozi ni ndefu lakini tutafika.
Dovutwa kapata mahali pa kutokea.
Dovutwa alishindwa kabisa kujenga hoja kwenye malumbano ya hoja ITV wiki iliyopita. Mwongoza kipindi alijitahidi kumrejesha zaidi ya mara 3 akashindwa. Sisi tunajadili madara ya Rais, yeye anajadili muungano. Akatolewa hewani kwa nguvu.
Hoja hii ilivyojengwa vizuri kiufundi lazima amelishwa, si yake nina uhakika. Safari ya ukombozi ni ndefu lakini tutafika.
Ndiyo huyo huyo Dovutwa, baada ya yeye kuenguliwa kugombea urais kutokana na kujaza vibaya fomu yake, aliwasihi wapiga kura wake, wampigie Kikwete!! Kama Tendwa angekuwa serious na kazi yake, hiko ndiyo chama kilipaswa kufutwa na siyo Chadema, ambayo imeingia mioyoni mwa mamilioni ya wa-TZ, na ambayo ndiyo tegemeo pekee la wa-TZ kwa sasa. Hiko chama cha Dovutwa ni kama ka-NGO fulani ka Dovutwa, kwa sababu yeye ndiye everything, mweka hazina, mwenyekiti na pia Katibu. Sasa haieleweki katika mazingira gani chama hicho kinaachwa kuwepo! Nadhani ni kwa matakwa ya magamba, kupitia kwa kibaraka wao Tendwa. Hata hivyo kama magamba wanamlipa huyo jamaa ili aiponde CDM, wakitegemea CDM, itadhoofika, wanajidanganya. Wa-TZ sasa wana uelewa mkubwa wa kuchambua, mchele ni upi na pumba ni zipi!!!Hivi yulle kiongozi wa chama cha upinzani aliyesema kura zake za urais uchaguzi 2010 apewe Kikwete ,alikuwa nani vile nimesahau .naomba umnikumbushe
mwishoni akasema kura zake apewe kikwete si ndio huyu?Huyu jamaa alinikuna sana kipindi kile cha uchaguzi alipodai eti akichagulia kua Raisi atajenga Kiwanda cha Silaha!
Dovutwa kapata mahali pa kutokea.
Mimi nlijua tu kuwa hii kauli ya dr slaa ama itaeleweka vinaya au itatafsiriwa vibaya na watu wenye akili kama dovutwa...
kauli aliyotoa dr slaa ni sahihi na ni ya kisiasa kwa maana kuwa kubeza teuzi za ccm...which is right...
au dovutwa alitaka dr slaa awapongeze ccm???
kwanza kabisa dovutwa hivi sio wewe ulijitoa dk za mwisho na kuwaambia wapiga kura wako wampigie JK? wewe ni mpinzani kweli?
i hate wanafiki wanaotafuta maslahi binafsi.
hivi nyie wapinzani gani kila siku mnashambuliana wenyewe kwa wenyewe? kila siku chadema...
dont you see the monster ahead of you????
come on.